kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 20,141
- 24,448
Ni muda mrefu CCM walikua wakipambana na nguvu ya lowassa ndani ya chama chao walikuwa hawana ubavu wa kumfanya chochote kutokana na nguvu aliokua nayo kipesa mpaka kisiasa, aliishi kama malaika si mwanachama mpaka mwenyekiti wala Serikali iliokuwa inaweza kumnyoshea kidole.
Mpaka CCM walipoamua kuukata mzizi wa fitina kutokujali kitakachotokea wakaamua kung'oa jiti na mizizi yake na kweli hilo limesaidia kujenga CCM bora na yenye afya.
Leo hii ule mzimu umehamia CHADEMA Lowassa anafanya analojisikia na anatoa kauli apendavyo na anauwezo wa kugeuza kauli hata kama zilisikika.
Wala haitaji msemaji wa chama wala katibu mkuu kwa kua yeye ana ofisi yake na msemaji wake,
Lowassa amemzidi nguvu mpaka mwenyekiti kiasi akimtuhumu Lowassa siku ya pili mwenyewe anarekebisha kauli kuwa tunachonganishwa.
Hapa inaonyesha sasa ameizidi kamati kuu mpaka inaogopa kutoa report ya kikao ili wachague maneno ya kusema,poleni makamanda safari hii kazi mnayo.
Swali Hassani Mwalimu ulisema kikao hakina ajenda ya Lowassa kwa kuwa kiliitishwa siku nyingi mbona mnaogopa kutoa taarifa mlijadili nini!
Je, taarifa itatolewa na liongo au makene hatumjui msemaji wa chama!