Katika mikoa mikubwa kma dsm kamati za ulinzi na usalama mkoa huwa wanaomba misaada kwa makampuni na wafanyabiashara wakubwa kila mwezi kuchangia mfuko wa pj
Mnajifanya mnampenda sana ponda bt si mtu mzuri atatugawa watanzania kidini. Nashangaa anawaponda makafiri yaani wakrito na ndio wanaomtibia muhimbili au anajua ma dr wote muslim?
Tusilaumu polisi tu wanategemea kupata info kutoka kwetu ndio wazifanyie kazi au unafikiri wanatumia mashetani/ kutambua matukio tuwape ushirikiano wakutosha tutafanikiwa kutokomeza mauaji haya cse wauaji tunaishi nao mitaani na hawakai angani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.