Recent content by Zeyfu_ed

  1. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

    Kuna taarifa kuwa mipango ya mauaji ya ally kibao imesukwa ndani ya CHADEMA baada ya kujua mzee huyo ni mwanajeshi mstaafu. Inasemekana ndani ya CHADEMA mpango huo ulikuwa wa siku nyingi na walimuita aende Tanga kwa kazi ya chama kumbe ndio walikuwa wanamsuka auawe. Kumbuka mauaji...
  2. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Polisi: Tunachunguza kubaini chanzo na watu waliohusika kumchukua Ali Kibao

    Kuna taarifa kuwa mipango ya mauaji ya ally kibao imesukwa ndani ya CHADEMA baada ya kujua mzee huyo ni mwanajeshi mstaafu. Inasemekana ndani ya CHADEMA mpango huo ulikuwa wa siku nyingi na walimuita aende Tanga kwa kazi ya chama kumbe ndio walikuwa wanamsuka auawe. Kumbuka mauaji...
  3. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania SI KWELI LGE2024 Lissu akiri kufukuzwa Ofisini na Mbowe

    MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu, amesema Mwenyekiti wa chama hicho Freeman Mbowe amemzuia kwenda katika ofisi kutokana na yeye kueleza ubadhirifu unaofanywa ndani ya chama. Pia Lissu amesema sababu nyingine ya kuzuiwa kwenda katika ofisi hizo ni...
  4. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania SI KWELI John Mnyika ajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema
  5. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania Uzalendo ni nini?

    "Kuzaliwa Tanzania sio kigezo cha wewe kuwa mzalendo lakini kama uzalendo upo ndani yako huo ndio uzalendo kamili
  6. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania Nukuu toka kwa Rais Magufuli (QUOTES)

    *NUKUU ZA MWENYEKITI WA CCM NDG. JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI KWENYE UFUNGUZI WA KIKAO CHA UWT TAIFA* Desemba 08, 2017. Dodoma. 1. " Tunataka kuwa na wanachama na viongozi waliopatikana kwa halali, hii nazungumza kwa Chama chote iwe wazazi, UWT ama vijana " - JPM 2. "Kama tumeamua kupingana...
  7. Zeyfu_ed

    JamiiForums Tanzania SUMATRA: Taarifa ya njia mpya jijini Dar es Salaam 2018

    Folenii palepale hakuna unafuu hapoo Bali nikiongeA foleni tu mjini
Back
Top Bottom