SUMATRA: Taarifa ya njia mpya jijini Dar es Salaam 2018

SUMATRA: Taarifa ya njia mpya jijini Dar es Salaam 2018

SUMATRA acheni maigizo, hivi karibuni tuliwaarifu kuwa kuna mabasi yanakatisha route na mengine hayaendi yalikopangiwa, mtu wenu (sauti ya kike) anayepokea simu za walalamikaji akajibu "SISI HATUFANYII KAZI TAARIFA ZA SIMU NENDENI KWENYE OFISI ZA SUMATRA ZILIZO KARIBU NANYI" tukamwuliza hizi namba za simu za bure ni za kazi gani? basi nendeni mkaone wenyewe akajibu "KWA KAWAIDA TUKIENDA HUKO HAWAWEZI KUPELEKA MAGARI KWAKUWA WANATUFAHAMU" nikakata simu nikaona ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
 
Hii itasaidia sana kuhakikisha daladala hazikati ruti; ila mbona Tabata inasahauliwa sana? Tabata haina ruti za kwenda sehemu nyingi moja kwa moja
 
Baada ya daraja la kigamboni kuanza kutumika rasmi zilitangazwa ruti mpya ambazo ni Kigamboni kwenda Kariakoo, Stesheni, Temeke na Mbagala rangi tatu zote kupitia kwenye daraja. Lakini ajabu mpaka leo mimi binafsi sijawahi kuyaona hayo mabasi yakienda hizo ruti isipokua Kigamboni - Machinga complex.
Idadi ya abiria bado haijawa ya kuridhisha kuvutia mtu akanunue basi milioni 60 kwenda kubeba abiria wawili kama bajaji
 
Folenii palepale hakuna unafuu hapoo Bali nikiongeA foleni tu mjini
 
Baada ya daraja la kigamboni kuanza kutumika rasmi zilitangazwa ruti mpya ambazo ni Kigamboni kwenda Kariakoo, Stesheni, Temeke na Mbagala rangi tatu zote kupitia kwenye daraja. Lakini ajabu mpaka leo mimi binafsi sijawahi kuyaona hayo mabasi yakienda hizo ruti isipokua Kigamboni - Machinga complex.
Tatizo ni ushuru wa Daraja pale ndio maana Mabasi yanakwepa hiyo njia
 
Hakuna jipya hizo njia tayari kuna gari zinzhudumu hivyo
 
Arusha jamani mbona mnatusahau?
Mbeya je?
Mwanza je?
 
Back
Top Bottom