Recent content by zetho

  1. zetho

    JamiiForums Tanzania Lowassa Alala kwenye Msiba, hii ni ishara ya dharau kwa wafiwa

    Ulikuwa wakati wa kusali, ukiangalia picha kwa nyuma kila mtu amefumba macho.
  2. zetho

    JamiiForums Tanzania Aunt Ezekiel na Ray wazungumzia kurudi kwao CCM - Live on Clouds TV

    Safi sana kamanda
  3. zetho

    JamiiForums Tanzania Idara ya Uhamiaji kuhoji uraia wa Zitto ni matusi kwa dola na watanzania

    Tulisha izoea tabiya ya Dr. Kaburu, ukiwa mpinzani wake basi we si mtanzania. Utadhani nchi hii ya mamake. 2010 alipiga propaganda kuwa mbuke wa Kigoma mjini Serukamba ni mnyarwanda tena shemeji yake Kagame.
  4. zetho

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Slaa na Lipumba walipewa kila mmoja 500 M Tzsh na kuadiwa ubunge wa kuchaguliwa kwa kazi moja tu, kumchafua Lowasa na Ukawa.
  5. zetho

    JamiiForums Tanzania CCM na mapenzi ya ghafla kwa Dr. Slaa

    Josephine kasha malizana an CCM pesa ziko kwenye account tayari, wamemuhaidia Slaa pia ubunge wa kuteuliwa and uwaziri na East Africa.
  6. zetho

    JamiiForums Tanzania Mbatia anatumika, Mambo ya CHADEMA yanakuhusu nini?

    Huyu nudie mme wa Josephine
  7. zetho

    JamiiForums Tanzania Pic: CHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE...

    [ATTACH]283168[/ATTAC Wana Islamic state wawili waliopenyezwa na CCM ndani ya Ukawa.
  8. zetho

    JamiiForums Tanzania Baada ya hotuba za Slaa na Lipumba: Napata hofu juu ya uwezo wa akili wa vijana wetu

    Dili waluzipewa na waziri wa fedha!!!
  9. zetho

    JamiiForums Tanzania Maoni ya Dr. Lwaitama Kuhusu Hotuba ya Dr. Slaa...

    Wasaliti wakubwa wa taifa ndio hawa.
  10. zetho

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ma Dr, and ma Professor wa Tanzania wanachekesha kwelikweli, Slaa na
  11. zetho

    JamiiForums Tanzania Picha kutoka Jangwani, Wema, Diamond, Mwana Fa wapo pia mtu wangu

    October ndo itakuwa mwisho wao ki usanaha.
  12. zetho

    JamiiForums Tanzania YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

    Matusi ndio sera mpya ya CCM 2015.
  13. zetho

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole on Star TV: Hama Hama katika Vyama, ni kwa Maslahi ya Nani?

    PolePole amejishushia heshima katika jamii. Ame kweli pesa ni shetani, PolePole huyu tuliyemjua mwenye viatu vya kukatikatika leo anakuwa nafanya interviews!!! Malaya mkubwa...
  14. zetho

    JamiiForums Tanzania Makatibu wakuu CUF na CHADEMA wachukulieni hatua za kuwavua uanachama watu hawa wawili

    Babako ndo fisadi, au tuambie wewe ni mtoto uliyezaluwa nje ya ndoa na Lowasa na unakujua kiasi gani cha pesa anazo? Acheni ujinga. Peopleooooooooz
  15. zetho

    JamiiForums Tanzania Mada Moto Channel Ten: Julius Mtatiro vs Humphrey Polepole

    Polepole amejipotezea heshima katika jamii, kwa kujifanya baba wa katiba. Anatumiwa na CCM eti ndio njia iliyobaki kumpotezea credit Liwasa. Pesa ni hadui wa maendeleo kwa Polepole.
Back
Top Bottom