Pic: CHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE...

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797


[h=3]CHAMA CHA UKOMBOZI (CHAUMA), CHAZINDUA KAMPENI ZAKE VIWANJA VYA BAKHRESA MANZESE DAR ES SALAAM LEO[/h]

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399.
[h=3][/h]
CCM.JPG
Mwananchi aliyevalia nguo za Chama Cha Mapinduzi (CCM), akiondolewa na askari polisi baada ya kujipenyeza kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
Hashim.JPG
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Dk. Hashim Rungwe, akihutubia wakati wa uzinduzi wa kampeni za chama hicho, uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo.
IMG_3520.JPG
Mzee wa chama hicho, Mbwana Hassan Mbwana akihutubia kwenye uzinduzi huo.
IMG_3531.JPG
Mgombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Robinson Fulgence Lembo, akihutubia kwenye uzinduzi huo.
IMG_3570.JPG
Mgombea urais wa Zanzibar, Mohamed Masoud Rashid, akihutubia.
IMG_3609.JPG
Wananchi wakishangilia.




mwenza.JPG
Mgombea Mwenza wa urais kupitia Chama cha Ukombozi (Chauma), Issa Abbas Hussein, akihutubia wakati wa uzinduzi huo.
wananchi.JPG
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi Umma (Chauma), uliofanyika viwanja vya Bakhresa Manzese Dar es Salaam leo. (Imeandaliwa na mtandao wa www.habari za jamii.com)
 
Duh,bonge la nyomi,huyu Hashimu baada ya uchaguzi kupita hatutamsikia tena yeye wala chama chake mpaka Mwaka 2020 kwenye uchaguzi mwingine. Vipi na yule pacha wake Fahmu Dovutwa ashazindua kampeni zake?
 
Back
Top Bottom