Recent content by ZENJIBARIA

  1. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania NASA INATUCHANGANYA! Je, Ni Kweli Dunia Inazunguka kwa Kasi ya KM 1,600/Saa au Tumeaminishwa Uongo?

    Miaka kumi nyuma nlichangia mambo mengi sana kuhusu nasa na ukweli nauongo wa space kwa Jumla, siwezi Kurudia hapa yote lakini pitia hii nyuzi hapa chini kuna michango mingi nimeweka https://www.jamiiforums.com/threads/kitambue-chombo-voyager-1.1185746/
  2. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Mi nashangaa tu, Kama serikali na vyombo vyake vote na nguvu zote hawajui pole pole alipo mana yake kuna shida kubwa sana nchini na mpasuko wa hatari sana, yaani serikali imepasuka vipande viwili na pole pole analindwa na upande mmoja wa serikali
  3. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Money vs education (pesa vs elimu) debate

    Cha kwanza ni lazima tufahamu what is education and what is money Elimu ni set of doctrine, maarifa,philosophy,methodology nk ambazo watu wengine wametaarisha, na hao waloitaarisha elimu chanzo chao hawakuwa na elimu ilikuwa ni watu walokuwa na uhuru wa kufikiri, kwa mana ukiwa na elimu...
  4. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Kitambue chombo VOYAGER 1

    Walaikum salaam sheikh Mie ni wa Afya alhamdulillah nashkuru, nataraji na nyie pia ni wa afya, Asante
  5. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Unamshauri Tundu Lissu ajiunge na chama gani ikiwa atashindwa uenyekiti Taifa CHADEMA?

    Kama ikitokea uchaguzi ukawa na figisu na unatarajiwa kuwa na figisu, basi nnashauri tumchangie pesa anunue chama cha cuf, amuondoe lipumba na aanze kukikuza chama,cuf ni maarufu
  6. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania What is energy in spirituality

    Great topic, but I’m a bit confused the use of language, Is the question what is energy in spirit or what is the power in/of spirituality
  7. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania ETHIOPIA IS FAR AHEAD! WHY NOT TANZANIA? WHAT IS A STRONG BARRIER AGAINST US?

    Huu muungano ndio unatengeneza vyama Vya aina hii, na pia vyama vinatendeneza viongozi wa kuabudu muungano wa aina hii, watu wakipata uongozi cha muhimi kwao ni kudumisha muungano na sio kujenga uchumi na kusaidia watu was
  8. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania ETHIOPIA IS FAR AHEAD! WHY NOT TANZANIA? WHAT IS A STRONG BARRIER AGAINST US?

    Sio chama mkuu, nchi zote zinazoendelea na kuweza kusimamisha uchumi zina vyama pia
  9. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania ETHIOPIA IS FAR AHEAD! WHY NOT TANZANIA? WHAT IS A STRONG BARRIER AGAINST US?

    Muungano ndio kiini cha matatizo ya uchumi tanzania, muunganu unaondoa morality na unaondoa patriotism, bila ya morality na patriotism katika kila ngazi ya kiserikali na kijamii uchumi ni ndoto na rushwa inatamalak, Ukiwa na mifumo ya kiserikali isiyotafsirika na kuingia akilini,huwezi kuwa na...
  10. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Swali zuri mkuu, manake hapa ndio tunapochanganywa ili tusielewane tunapojadiliana kuhusu uhalisi wetu binadamu. Maana ya nafs ni self au awareness of self au conscious of one’s self, haya yote kwa ukamilifu wake ya I namaanisha spirit Na maana ya soul ni ruh kiarabu au roho kiswahili Na...
  11. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Asante mkuu. Inawezekana tunakoseana kwenye lugha tu, Binadamu amejengeka kwenye sehemu tatu Spirit,soul and body Mie sprit ndio nafsi which the inner part Soul ni roho ambayo ipo Kati ya mwili na spirit Na kisha ndio mwili Kuna uzi flani hapa nilichangia mada kwa kiingereza labda isome...
  12. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Ipi ni tofauti ya mwili, nafsi na roho?

    Swali zuri hili na mara nyingi tunakuwa hatuwezi kuuliza maswali kama haya kwa sababu tunajifanya tunajua kwa hio tukiuliza maswali kama haya tunajiona wajinga,kwa hio tunabakia hatuulizi ili tuwe miongoni mwa wanaojua. Roho, nafsi na mwili ni vitu tafauti na kila kimoja kina kazi yake ili...
  13. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania What is spiritual awakening?

    Thanks
  14. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania What is spiritual awakening?

    Na mie nachangia naomba nitafautiane na mtoa mada kwa baadhi mambo,ntajaribu kuichambua na kuikosoa hii mada,mada nzuri Ingawa inaonekana kama ya vitabuni sana,mtanisameh ndungu zangu. 1) What is spiritual awakening? Spiritual Awakening means that you have realized that you are an Immortal and...
  15. ZENJIBARIA

    JamiiForums Tanzania Tanganyika Occupation of Zanzibar should end ASAP

    Muungano huu umeanzishwa kwa order ya walitupa uhuru na mpaka leo wanaisimamia order hio, wakoloni walipokuja afrika walitaka lazima serikali zote walozikuta ziyayushwe, walipomaliza zanzibar walielekea Ethiopia kuyayusha ufalme wa Ethiopia. hakukuwahi kuwa na sababu ya muungano na mpaka leo...
Back
Top Bottom