Recent content by Zenj Empire

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Nani aijenge na kuipigania Tanganyika kama siyo Watanganyika!?

    Ugonjwa wenyewe ulianzia hapa, Watanganyika mulipoaminishwa na mtu muliyemuamini kuwa ana akili nyingi kuwashinda nyote, Mwalimu Julius Nyerere, kwamba amewapatia kisura cha kuoa, yaani Zanzibar. Mukawa tangu hapo munajiaminisha kuwa nyinyi ni waume na sisi ni wake na Muungano wetu ni ndoa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya kadhi hii hapa!

    Wapendwa wa Jukwaa hili, naomba niende zaidi ya kile kilichoelezwa kwenye mtiririko huu wa michango kwa leo. Going beyond borders, kama wanavyosema CNN. Ila mimi kwanza natangaza maslahi yangu kwenye suala hili, ili kuepuka unafiki ambao wengi wetu huonesha humu. Mimi ni Mzanzibari na ni...
  3. Z

    JamiiForums Tanzania CCM yahaha kuimaliza CHADEMA

    Litakuwa kosa nambari moja kama CCM na serikali zake watashikwa na kiburi kwa siasa hizi. Watuulize sisi Zanzibar nini kimetutokezea kwa miaka 15 ya siasa za aina hiyo. Tulidhani uhafidhina kwenye CCM uko Zanzibar tu kwa kuwa chimbuko la CCM Zanzibar ni ASP ambacho kilikuwa chama cha...
Back
Top Bottom