Recent content by zembez

  1. Z

    Mkutano wa uzinduzi wa kampeni UKAWA Segerea wakosa watu...Duni, Mtatiro wapigwa butwaa!

    sasa muda wa kazi unapiga campeni za nn? kama sio ulofa...
  2. Z

    Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    so wote tunaomchukia lowasa ni ccm engine ni chadema tuliokiacha chama na kujiunga na chama kingine sababu fisadi jizi limevamia kambi Ccm embu ficheni ujinga wenu. Maana mnajivua nguo wenyewe. Na kudhiirisha kwamba ni chukitu juu ya lowassa.
  3. Z

    Dr. Slaa adai yupo nchini, Lipumba asema haridhiki na UKAWA kuwa na mgombea Urais aliyetoka CCM

    upo sawa kwel kwa hiyo ulitaka wawe mafisadi wapige pesa unaona sifa liangalie
  4. Z

    Updates kutoka Uwanja wa Mashujaa Mtwara: Mkutano wa Kampeni za mgombea Urais CCM

    angekuwa amesema lowasa mngesema kila kit kinawezekana
  5. Z

    lowasa alikatwa na ccm, ila masha tulimkata chadema 2010 mwanza

    nashangaa kumwona masha jukwaani akinadi ukawa wakati tulishamkata 2010 kutokana na utendaji mbovu kama mbunge wa nyamagana na waziri wa mambo ya ndani, je ni kwa mazingira gani huyu mdhaifu anapewa nafasi? kama amebadilika awaombe kwanza wananchi msamaha kwa kuwa dhaifu na pia atuhakikishie...
  6. Z

    Je waziri mkuu wa Lowassa ni nani? Na pia ni wa vijiti?

    Ikiwa Lowasa atapita na kuwa rais, je waziri mkuu ataweza kuwa nani? Atatoka CHADEMA au NCCR au CUF? Na je watapokezana kijiti kama walivyokubaliana na JK, vipi akimsaliti?
  7. Z

    Baada ya Lowassa kutoa maelekezo TANESCO Mwanza, Mgao umepungua

    b acha uongo na porojo umeme unaendelea kukatika kama kawaida lowasa ni mwongo
  8. Z

    Baada ya Lowassa kutoa maelekezo TANESCO Mwanza, Mgao umepungua

    . acha uongo na ufisadi kama huyo lowasa mgao up
  9. Z

    Kilichosababisha mauaji ya Kamanda Barlow chabainika

    jamani me nafikra tofauti kidogo inawezekana bado wanaficha ukweli tusijue tofauti zinazoendelea ndani ya jeshi la polisi especially kamanda marehemu mwenyewe na sekta nyingine, mfano kwani yule afisa usalama aliyerushiwa risasi huko mwanza na kupishana maneno na marehemu kamanda hatuwezi...
  10. Z

    Mtoto aliyekojolea msaafu kortini...

    me nisaidieni jaman ameshitakiwa kwa kosa gani? ni kuharibu mali ya dini au kudhalilisha dini kwa kukojolea huo msaafu cjui au chanzo cha kusababisha machafuko? hizi sheria nazo kweli ngumu
  11. Z

    watoto wao wanawaingiza nafasi nzuri BOT. TRA, NHIF n.k, wanatuambia sisi tujiajiri

    "lini sasa? wakati na sisi watoto wa vigogo tuna vigezo wengi tumesoma india na malasia tumekuja chukua nafasi zetu" angali ucwe mfuasi wa kibwetele ipo siku lini au unategemea 2015? haya tusubiri tuone.
  12. Z

    Diamond Trust Bank

    maswala ya kazi gani?
Back
Top Bottom