Recent content by Zehoes

  1. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Call For Work (Placements) Kuitwa Kazini UTUMISHI January, 2026

    Asanteh kwa taarifa naomba kuuliza na mwenye uelewa annieleweshe vyema Je usipoenda kuripot kazini kuna madhara yoyote pindi ukiomba tena ajira zikitangazwa zingine
  2. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima anasema tukutane kesho Desemba 7 kwenye siku ya Baba na Wanae, kanisani Kibo

    Yeye mwenyewe ni jasusi la mbinguni kaiweka hiyo ili kumsoma adui yake
  3. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Kdrama ya moto ni The manipulated 10/10 action, story
  4. Zehoes

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Ni uzushi na nimesema hazina ukweli wowote 100%
  5. Zehoes

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Naomba tuwasiliane mkuu PM
  6. Zehoes

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mimi na Mke wangu tunatishiwa kuuawa kwa tuhuma za uongo

    Mimi, mwalimu katika Shule ya Sekondari Likongowele, Wilaya ya Liwale, kwa heshima kubwa napenda kuwasilisha malalamiko haya kwa mamlaka husika kuhusu hali ya usalama wangu pamoja na familia yangu. Kwa muda mrefu sasa tumekuwa tukikabiliwa na tishio kubwa la usalama (hata kuuwawa) kutokana na...
  7. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Sekretarieti ya Ajira acheni kuwawekea waomba ajira vigingi visivyo na sababu za msingi.

    Hiyo miaka 5 ulikuwa unafanya nini chuo kama hujui cell biology...mechanism ya dawa utaikumbuka ama ni kufanya POLYPHARMACY Utatuua wagonjwa daktari...
  8. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo pesa hesabu maumivu...... selcom duka hawana customer care
  9. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hadi 500.... kwa nini usitumie voda ama tigo kwaa 1500 tu ukajiwekea pesa
  10. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    vodacome kwa sasa.... hata kama ulijisajili kwa namba tofauti na voda fanya kubadili namba kwenda vodacom
  11. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    hamia 1xbet
  12. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    nimeona hadi tigo....wacha nirudi 1xbet maana mawakala wanazinguaga sometimes.
  13. Zehoes

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    kama unaikubali 1xbet jaribu helabet though kuwithdraw muda mwingine husumbua...
Back
Top Bottom