mimi ningependa kujuwa kwamba katika habari zote kuhusu chenge, vingapi ni vya kweli na vingapi vimerushwa kwasababu ya wivu au hofu kutokana na uwezo wake? maana nadhani hivyo viwili vya mwisho vimechangia kupita kingine chote
emotions? English is the global language of communication at the moment regardless of what people may wish, in Tanzania it has become mandatory among many corporations and business sectors? I'm merely re-instating the obvious.
kweli umeshindwa maana hamna kitu ulichoweza kujibu. Je chenge alikuwa civil servant tu? je alikuuliwa wangapi? Je umecheki na harvard alumni kama chenge alisoma pale au unachonga tu? Je hayo mabilioni unauhakika gani anayo?
hata siku moja. unlike you, I value my education, I value world issues. So far you've proved your ignorance and foolishness. Endelea na lugha yako yakitaifa sijuwi itakufikisha wapi na ulimwengu hu?
dah hata kusoma ngumu kwako sindiyo. nimesema nimeeda harvard, nilisema kusoma? wewe umefika ukauliza the law faculty kama chenge is part of the alumni, maana mimi nimefanya! Je wewe unaushahidi gani kwamba chenge ana mabilioni? magazeti yamekuambia, magazeti hayo hayo yanojulikana kuzusha...
Tanzania hamna utafiti hata kwenye habari, watu wanataka kurukia habari tu ilimradi wapate chakusema. kujielimisha kabla ya kufungua mdomo ni kitu kigumu it seems
kingereza ndio lugha ya dunia sasa kwahiyo kama unaona I'm raping the language you simply confirm my intial comment regarding your foolishness, education is the key dear
no africa ni maskini kwasababu watu kama wewe hawataki kufanya kazi kwa bidi juu ya kazi, wanaona darasa limejaa nyuki na viti vina upupu,pata shule kidogo in fact pata shule sana
If you're ignorant enough to extend a fraud allegation to murder, I have no problem, I only feel ashamed to call you mwafrika wa kike...unafaa kuitwa neanderthal!
Please, you've jumped from claiming the man is a fraudster to accusing him of murder! Did he kill someone close to you nini? You believe chenge was merely a civil servant,for 30+ years? I highly doubt that.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.