Recent content by Zee la Totoz

  1. Zee la Totoz

    VIDEO: Siri ya Migomo Kenya kisa ni wivu wa maisha mazuri ya Watanzania

    Kwaiyo kila mwenye maisha magumu ni mvivu??
  2. Zee la Totoz

    Mbu wa Dar ni mdebwedo

    Huku njombe Mbu anakushika mguu Kama ameshika muwa alafu ndio anaanza kukung'ata
  3. Zee la Totoz

    Ni halali kwa mzazi kulalamikia matunzo kwa watoto wake?

    Sasa wazazi wako wapo kijijini huko wamezeeka na hawana Tena uwezo wa kufanya kazi, unataka Nani awalee Kama sio wewe..... Bila shaka wewe ndio wale vijana wa dar mnaokula Bata kidimbwi na Malaya, wakati wazazi wenu wanateseka huko vijijini
  4. Zee la Totoz

    VIDEO: Siri ya Migomo Kenya kisa ni wivu wa maisha mazuri ya Watanzania

    Maisha mazuri ya watanzania????... Watanzania gani hao unawazungumzia mkuu, mbona mimi ni mtanzania na sina maisha mazuri
  5. Zee la Totoz

    Mnavimba sana humu mitandaoni ila wazazi wenu wanatumia simu za ajabu sana

    Kijana, aliekwambia wazee wetu wanataka macho matatu nani???
  6. Zee la Totoz

    Natafuta mwanamke(mchumba)

    Aliwatani Kama Aliwatani.... Unatafuta mchumba mtandaoni
  7. Zee la Totoz

    Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    Ndio nilifeli na sikutaka kusoma tena, Vpi wewe uliefaulu na ukasoma mpaka University una nini cha maana zaidi ya huo mshahara wako wa 500k per month...???
  8. Zee la Totoz

    Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    Povu la nini mkuu...kwani ni mimi ndie nimefanya mshahara wako uchelewe???
  9. Zee la Totoz

    Nimechoshwa na Huu umungu mtu unaooneshwa na serikali! Mpaka Sasa Mshahara haujatoka? Mnatuchukuliaje?

    [emoji1][emoji1][emoji1]mkuu Yani ndio kwanza tarehe 24, ushaanza kulia lia mshahara , haujatoka,,at least ingekuwa tare 29 au 30 hapo ndio uanze kuilaumu serikali
  10. Zee la Totoz

    Jengo la ofisi ya Chadema Wilaya ya Ubungo lakamilika

    Najaribu ku imagine.... hilo jengo lingekuwa la serikali wangetuambia ujenzi umegharimu billion 5[emoji16][emoji16]
  11. Zee la Totoz

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Yah hiyo ndio tiba ya kutibu Gono sugu...
  12. Zee la Totoz

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Hiyo ni gono sugu, na tiba yake ni sindano, Yani unadungwa sindano mpaka inazama katikati ya uboo kwenye kile kitobo kinachotoa mkojo,,, Afu sindano huwaga ni kubwa Kama zile za kuchomea ng'ombe
Back
Top Bottom