Recent content by Zedekiah

  1. Zedekiah

    Naomba ufahamu kuhusu biashara ya damu ya ngombe

    Mkuu hyo dam iko wapi ndugu naomba mawasiliano yako niko dar mim 0787999851
  2. Zedekiah

    Natafuta soko la kuku wa kienyeji

    Ndugu bidhaa haiziki hvi weka details zaid na kuku umri hua sio muhim sana hasa tunaangalia uzito maana kuna kuku wa kienyej ana miez 6 hafikish hata kilo 2.5
  3. Zedekiah

    Kilimo cha Mapapai: Ushauri wa Kitaalamu, Changamoto na Masoko yake

    Kwa mwaka average ni 80 kwa mti mmoja hyo ya 250 za kwake huko za kutangazia biashara yake na mpapai unazaa after 9months
  4. Zedekiah

    Ingia kwenye hiyo link hapo chini kisha jisajili upate mkwanja kila mwezi wa maana.

    Jaman wabongo mtaishia kupigwa daily na scammers kwanm msiverify hyo site yan sio legit kabisa na utakuta mijitu mingine imesoma IT haiwez tambua hata scam za online
  5. Zedekiah

    What’s your hidden reason for becoming a trader?

    Mbona wewe unaonekana ni mtaalam wa reposting ukiiulizwa maswali kuhusu forex trading kimyaaaaaa
  6. Zedekiah

    Fahamu utajiri kwenye biashara ya fedha za kigeni (FOREX TRADING)

    Wadau mwenye ujuz na mambo ya forex trading nahitaj msaada kidogo tafadhali 0787999851
  7. Zedekiah

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Loss gani ikitokea itafidiwa hyo mbona haiko waz
  8. Zedekiah

    Kikundi cha mkopo

    Mi nadhani watafute wote wenye biashara sawa
  9. Zedekiah

    Biashara ya kuuza ndizi

    Ndiz nyingi mno sa hv aisee
  10. Zedekiah

    Kilimo cha matikiti ni anguko la wengi mwaka huu

    Lime Limekutia hasara kivip mkuu
  11. Zedekiah

    Natafuta supplier mpya wa vifaranga vya kuku

    Vifaranga gani
  12. Zedekiah

    Nataka nifuge Kuroiler niwauze Chrismass

    J Je sisi wa dar es salaam hao sasso tunawapata wapi na bei gani naomba ufafanuz plz 0787999851
  13. Zedekiah

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Soko lipo we uko wapi kwa dar 0787999851
  14. Zedekiah

    Natafuta soko la kuku wa kienyeji

    Bei zako za bata mzinga hzo
Back
Top Bottom