Recent content by zeck john

  1. zeck john

    Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Nipo kama unaelekea Msumi ,Dar
  2. zeck john

    Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    nauza, Mirunda nauza Tsh 1800/=,mbao maelewano yapo unaweza kuja site ukazicheki tutaelewana tu kwa mhitaji.
  3. zeck john

    Nauza marine boards, mirunda na mbao zilizotumika

    Habari.Nauza mirunda, mbao, na marine boards zilizotumika. Marine boards ziko size 18mm, Mbao zipo size 2x2, 4x2, 1x9, na 1x 10. Bei maelewano. Vifaa vimetumika mara moja tu, nategemea kuezua slabu yangu tarehe 23/11/2024 site ipo Msumi Dar. Mawasiliano 0747109975.
  4. zeck john

    Ushauri: Nataka kutafuta "Fundi Juma" mwenye uzoefu wa kujenga ghorofa ili kupunguza gharama

    mkuu nategemea kuezua slabu yangu weekend hii kama utahitaji mbao,marine boards na mirunda nitakuuzia kwa bei nzuri nimeitumia mara moja tu.
  5. zeck john

    Natafuta Marine Board Used Maeneo ya Goba [Ujenzi]

    Ulipata marine boards mkuu? Nategemea kufumua weekend hii,nyumba ipo kama unaenda Msumi naweza kukuuzia au kukukodisha.
  6. zeck john

    Ni kwanini unajenga nyumba ya ghorofa?

    Nakubaliana na wewe mkuu
  7. zeck john

    Hizi shule za English Medium zimetugeuza Wazazi kuwa Walimu?

    [emoji3][emoji3][emoji2][emoji3]
  8. zeck john

    Yahusu vijana wenye miaka zaidi ya 28 wanaokaa nyumbani kwao

    bro umegusa wengi hapa[emoji3][emoji3][emoji3] ila soon tu tutatoka kuna michongo tunaisubiria itatiki tu
  9. zeck john

    Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

    Mkuu kuna ule ukali wa kawaida tu ambao ata kwny dini unaelezewa ,huu unaoelezewa apa na wadau kwa kiasi kikubwa ni ukatili huwezi mpiga mtoto mpaka anazimia afu unasema ni fundisho.
  10. zeck john

    Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

    yea kweli ilo nimeliona mwenyewe
  11. zeck john

    Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

    izo tabia za ushoga na umalaya ni hurka na pengine wazazi walishindwa kuwaandaa watoto kimalezi vizuri.unajua hakuna kitu kizuri km baba kuwa rafiki kwa watoto wako utaweza jua tabia zao kiundani toka wakiwa wadogo na hii itawakuza mpk wakiwa watu wazima watakua na upendo ule wa dhati kwako
  12. zeck john

    Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

    Awa wazee wetu yani wao kupiga mtoto ni sifa kubwa kwao tena utakuta wanakaa kwenye vijiwe vyao wanaadithiana kwamba wanajua kupiga .Haya mambo yakupigwa pigwa ovyo bila sababu yalinijenga kuwa na tabia ya uwoga,hasira na roho ya chuki (nashukuru Mungu nilijtambua nkazpinga izo roho) kwn mzee...
  13. zeck john

    Wenye "madingi" wakali tukutane hapa

    Binafsi huwa sielewi kwanini awa wazee wetu walikuwa wakitufanyia ukatilii kwa kisingizio cha kukosa kwani walishindwaje kutumia kauli nzuri tu za kufundisha watoto yan ata kwa kutumia hekima za kidini.Nimelelewa na mzee wangu katika maisha ayo na kunifanyia matendo ya kikatilii imenipelekea...
Back
Top Bottom