Recent content by ZebyK

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Siasa na walimu wapya 2020, hajapewa hela ya kujikimu wala mshahara mwaka huu

    Sio hao tu, kuna baadhi ya halmashauri hazijawahi toa pesa ya kujikim ya ajira za 2017 mpka leo yamebaki kua madai
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye mwanamke anayeumiza watu hovyo

    fact, nakubaliana na ww ndg
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Fahamu faida za kuoa binti aliyezalia nyumbani

    ndg hapo si kweli au labda tuseme sio ote, mm pia niliingia katika mahusiano na dada aliezaa tena kapitia changamoto nying kapigwa na maisha, baada ya kua nae nkamjali kwa kila jambo mpaka kumlelea mwanae lkn kaja kubadilika mpaka nmeshindwa kumuelewa sasa na mm nmeamua kumrudisha kwenye shida...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Swali: Eti wanawake wana Bikra Ngapi?

    mi navojua wana bikra mbili, moja ya njia ya uani, na nyingne ya mbele
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupata mpenzi tapeli?

    hakika weng ni matapel, nami naona kuna msichana nilimpenda sana nkawa nae nilimkuta ana mtoto alizalisha akaachwa nae toka nmekua nae ananiwekea mashariti kuhusu kufanya nae maoenzi kwa kigezo mtoto atazulika bado mdogo, nkimwambia kuna dawa ya kuzuia hcho kitu kutokea na nilikua nshagharamia...
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Kama haujaoa au kuolewa soma hapa na wengine ruksa kuwashauri

    hakika, na maswala ya kuangalia iman wakti mwingne yanatunyima watu sahihi wa kuishi nao kayika maisha, matokeo yake unaangukia kwa mtu wa iman yako lkn sio mwenza sahh kabisa wa maisha
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mama Ake Anataka Mwanae Aolewe Na Mwanaume Aliezaa Nae Tu

    Pia nafikiria hvo nkifanikiwa sitakua na hofu tena maana najua hata wazazi nguvu ya kumzuia itaisha
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kudukua simu ya mpenzi wangu

    Shida ya hii app huez kudukua whatsapp na social network mpaka sim iwe rooted
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Mama Ake Anataka Mwanae Aolewe Na Mwanaume Aliezaa Nae Tu

    ahsante kwa ushauri kwakweli hata mm nmejiandaa kisaikolojia kwa lolote.. japo huyu mdada kanihakikishia kwa asilimia zote hawez ntupa. nina matumaini huenda mama ake akaja kunielewa ni kipind cha mida tu.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Mama Ake Anataka Mwanae Aolewe Na Mwanaume Aliezaa Nae Tu

    ofcoz baba wa mtoto anahudumia mwanae kwa nafasi yake, na mm pia pale huyu mdada anahitaji msaada juu ya malezi ya mwanae sijawai kuacha kumsaidia wala kumtupa pale anapohitaji msaada wangu katika malezi ya mtoto wake.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mama Ake Anataka Mwanae Aolewe Na Mwanaume Aliezaa Nae Tu

    Wana jf, mm ni kijana niliekatika mahusiano ya kimapenzi na bint mmoja, ambae bint huyu kiukweli japo nmemkuta akiwa na mtoto nmetokea kumpenda sana hadi kufikia maamuzi ya kutaka kuishi nae kama mke na kwa kiasi kikubwa ni kama namsaidia kumlelea mwanae kwa kumsaidia kila kitu,lkn changamoto...
Back
Top Bottom