Recent content by zebedayo musibha

  1. zebedayo musibha

    History and mission of JESUITS to USA Part 3

    UJASUSI WA KIDINI SEHEMU YA TATU KUTENGENEZWA NA KUZAMA KWA MELI YA TITANIC. Baada ya Wajasuiti kupenya kwenye mifumo ya serikali ya Marekani, kama tulivyo ona sehemu ya kwanza na ya pili Maraisi kazaa walidhibitiwa kwa namna tofauti tofauti. Baada ya hapo mipango yao ilikuwa ni kushikilia...
  2. zebedayo musibha

    History and mission of Jesuit to USA part 02

    UJASUSI WA KIDINI SEHEMU YA PILI MISSION YA KUIVAMIA AMERIKA NA SERIKALI MAARUFU DUNIANI 1. BUNGE LA VIENNA (AUSTRIA) Watawala wa ulaya waliitisha baraza kuu huko vienna, austria mnamo 1814 -1815. Bunge hili la vienna liliunda USHIRIKA MTAKATIFU(HOLY ALLIANCE), na 'Vyama vyenye mkataba mkubwa'...
  3. zebedayo musibha

    History and Mission of Jesuit to USA. Part 1

    Karibuni katika mfululizo wa Makala kuhusu UJASUSI WA KIDINI. SEHEMU YA KWANZA. WAJESUITI ( Jumuia au jamii ya YESU) Ni shirika la Kanisa Katoliki ambalo linafafanuliwa kama utaratibu wa kidini. Hii inahu ukweli kwamba imeundwa na kikundi cha wanachama ambao hufuata sheria na kanuni za kanisa...
  4. zebedayo musibha

    Mfahamu T.O Kihombo 2006 aliyepata Degree yake ya Kwanza baada ya Miaka 11

    Naona unatafuta Popularity, Komaa ,,,,,Ila Kumbuka Wote waushikao upanga, wataangamia kwa upanga. Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
  5. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    LUKA 25:45 45. Ndipo akawafunulia akili zao wapate kuelewa na maandiko. Ucjali Roho Mtakatifu atakufunulia.
  6. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    1 Akaja mmoja wa wale malaika saba, wenye vile vitasa saba, akanena nami, akisema, Njoo huku, nitakuonyesha hukumu ya yule kahaba mkuu aketiye juu ya maji mengi; 2 ambaye wafalme wa nchi wamezini naye, nao wakaao katika nchi wamelevywa kwa mvinyo ya uasherati wake.
  7. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Ofisi ya upelelezi ya Rwanda (RIB) imethibitisha kuwa inamshikilia Mkuu wa makasisi wa Kanisa katoliki Parokia ya Rwamagana nchini humo, Jean-Marie Telesphore Ingabire, ambaye anashukiwa kusaidia katika madai ya wizi na kufich ushahidi. Msemaji wa RIB, Thierry Murangira, ameiambia BBC, kuwa...
  8. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Laiti Biblia ingekuwa inawakilishwa kihisia na kibinafsi ninaimani kila mwanadamu angekuwa na Miungu yake kama ilivyo kuwa nyakati za Giza.
  9. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Kanisa la mitume, mitume wake wote waliuwawa na asikari wa kirumi Na huyo mtume petro mnae msema kuwa ni papa wa kwanza aliuwawa mwaka 64 AD na asikari wa kirumi katika mji wa rumi Na wakati huo hata mamlaka ya kanisa wa cheo cha upapa haukuwepo. Kumbuka cheo cha papa kimeanzishwa mnamo...
  10. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    Mungu akujalie Karama ya ROHO MTAKATIFU siku moja huijue kweli katikati ya Giza nene lililo tanda nuru yake ikuangazie.
  11. zebedayo musibha

    Rais Samia akutana na Baraza la Maaskofu (TEC), Kilaini aelezea Historia yake na utaifishaji wa mashule 1970

    [emoji871]Mhubiri 8:9 Hayo yote nimeyaona, nami nimetafakari moyoni mwangu kila kazi ambayo imefanywa chini ya jua, wakati ambapo mwanadamu amemtawala mwanadamu mwenzake kwa kumuumiza.+ [emoji871]Katika vita vya Har–Magedoni, Ufalme wa Mungu utaziharibu serikali zote za wanadamu zilizojaa...
Back
Top Bottom