Najua kila mtu anatambua umuhimu wa maisha, nitazungumza kwa ufupi sana ili nifikishe ujumbe wa kweli.
Tanzania ni nchi yenye kedomokrasi iliyo anza mwaka 1992 na chaguzi za fanya vingi mwaka 1995. Hatuwezi kusema nchi ni ya kidemokrasia bila mfumo wa vyama vingi.
Tanzania inamarais watano...
Yapo matukio mengi sana huyu ndio aliye tunyima bunge live na alisupport Kwa nguvu zote leo hii tumesahau...huyu nape alisema ccm itaingia madarakani Kwa bao la mkono...........alisema nape akuna kiongozi bora a.bae atatoka nje ya ccm.......watanzania jmani tuna huruma sana leo htana demokrasia...
napenda kuandika histria kwa ufupi mnooo naona mwana sias mwenyw busara ni freeman mboe moja
Alinyanganywa shamba hakusema chochote
Alifutiwa ati miliki ya hotel napo alipiga moyo kondo
Amenyanganywa gari na bunge hajasema chocht
Hiyo ndiyo busara naamin hakuna mwananchi anae mchukis
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.