Taasisi kama NEMC haina faida kwa Watanzania hata kazi yake aionekani kwa wananchi masikini. Huo usumbufu wa makelele yanayopigwa kwenye mabaa wao kimya mpaka bosi wao akisema ndo wanakurupuka.
Naomba mamlaka husika wawachukulie hatua wote wenye kupiga miziki na kukera wenzao. Mtu anakuwa na kigrocery anapiga mziki hadi usiku mkubwa alafu ni kila siku. Hivi watu wa NEMC na waziri husika mpaka rais aseme ndo mfanye kazi.
Harusi ni upuuzi mtupu. Mi kipindi naoa wote niliowachangia walikuwa wananipiga tarehe na awakutoa kitu kabisa. Kuna jamaa yangu nilimchangia 350,000TZS siku naoa hakutoa hata mia akasema hana kitu. Sema nilikuwa nimejipanga nitafanya sherehe ndogo 75% ikatoka mfukoni mwangu baada ya kuona...
Hiyo ni mihemko ya kupewa vihela na Mathayo ndo mnakuja kutupigia kelele hapa. Dr Ma
1. Barabara ya Nyakato Mutex alikuwa haipitiki miaka yote ya hao mliowataja Leo inapitika kutokana na uongozi wa hao unaowadharau.
2. Kata ya Nyamatare ilikuwa haipitiki Leo unachagua upite wapi kwenda mjini...
Naomba mwenye uelewa jinsi gani nitaunganisha TV aina ya ZEC na Receiver aina ya Sony HT-M22. Zote zinaonyesha zinatumia HDMI System, nimejaribu kila njia imegoma.
Waendesha bodaboda ni waha je hawa wenyeji kwao watapata vipi maendeleo yako. Leo Lipumba kwao hata kibanda hakuna dar anaishi kwenye gorofa heri Sita ye anajumba LA kizamani hapo Urambo lina uzio wa miti. Tukitaka maendeleo yetu lazima tunachokipata kiasi turudishe tuliko toka, zingine ni...
Huwezi pata maendeleo kama wananchi Wa sehemu husika hawapendi maeneo yako. Mi ni mwenyeji wa Musoma ila nimewahi kuishi mbeya, dar na sasa Tabora. Huu mkoa umechoka ni kutokana na wenyeji hivyo maendeleo kupatikana ni vigumu hapa tunapenda unafiki hatutaki kusema ukweli. Maduka mengi hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.