Recent content by Ze observer

  1. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji Msaada wa Ushauri kwenye uhusiano wangu

    Muombe Mungu akupe majibu, lazima akukomboe na utakua sawa hofu na wasiwasi juu ya hayo mahusiano itaondoka, na kama ni shetani kapandikiza Kwa huyo mtu wako atakaa sawa, Ili kesho Yako isiharibiwe na mahusiano yasiyo na tija
  2. Z

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Mrembo
  3. Z

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0512
  4. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Asema UVCCM isiwe sehemu ya kungoja vyeo kutoka serikalini au kusubiri kuwaunga mkono wagombea

    Hili mbumbumbu (Lucas) Kila mtu analikataa ila yeye anakua mbishi, ni ushamba na upunguani unaoufanya maana unashida kdg ktk kufikiri mkuu. Elewa unachoambiwa, na nyuzi zako zinaboa sana... Fanya kazi zako bwana, unajaza server tu Kwa upuuzi unaoufanya, na uteuzi hutokuja kupata maana huna akili
  5. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu kanitukania Mama yangu, naombeni ushauri jamani

    Fala sana wewe mwanamke.
  6. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kuoa mwanamke mwenye mtoto

    *henzi kabisa, hukujua kua utakuja yakuta haya. Tatizo ni tamaa zilikulenga tu za muda mfupi. Nothing come unalert zaidi ya kujua kabisa yatakuja tokea haya ila ulishupaza shingo yako na kufumba macho, sijajisumbua kusoma mpk mwisho lkn I know your content maana akili kama zako wanazo wengi...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 TEC ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?

    Linapokuja suala la maslahi ya mwanadamu lazima watumishi wa Mungu waingilie kati na kutolea ufafanuzi juu ya Jambo husika ikiwa Linahitaji msisitizo. Maana wanatimiza Ile kauli ya Watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa, sasa wao lazima wao au wengine lazima waelimishe na kuwatoa Watu katika...
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Ukiambiwa utoke na nani humu utatoka naye?

    Mzigua90
  9. Z

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0330
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Unamtaka nani humu, muwe naye kwenye mahusiano?

    Mzigua90
  11. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nimekwama kimapenzi, niufuate moyo wangu au akili?

    Pole Sana daktari, hisia ziko juu Sana kwako na zimeelekeza conscious mind Yako kutokubali uhalisia wa mambo (kuona hata alifanyalo lisikupoteze kwenye mapenzi) lakini, Kwa afya Yako ya akili pamoja na mstakabali wa maisha Yako kwakweli acha naye jifunze kuacha mtu aende after 21 days utakua mtu...
  12. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume ni wa ovyo sana

    Daah pole Sana, Muombe Sana Mungu juu yake
  13. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukampenda sana mpenzi wako?

    Msafi, mweupe mpole na anajua kunyanduana mnooo
  14. Z

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0052
  15. Z

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    0313
Back
Top Bottom