Recent content by ZE NDINDINDI

  1. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanaopenda mpira wa miguu wana kitu cha tofauti

    :D kabisaaaaaaaaaaaaaaaa
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Serikali yawarejesha kazini watumishi 1,370 walioondolewa kwenye ajira kwa kukosa sifa ya elimu ya kidato cha nne

    HAYA MAANDAMANO YATANGAZWE KWA MWAKA MARA 4 TUTAONA MENGI HADI MAJITU YENYE ROHO MBAYA YATAJIFANYA YANA ROHO NZURI
  3. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fight Night: Anthony Joshua ampiga kwa points Joe Parker

    StreamCr7 Embed Html5 player
  4. Z

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Fight Night: Anthony Joshua ampiga kwa points Joe Parker

    https://www.totalsportek.com/boxing/joshua-vs-klitschko-live-stream/
  5. Z

    JamiiForums Tanzania NYUMBA INAUZWA UBUNGO MAZIWA

    *servant quarter*
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya yajayo..!!!

    kolomije makao makuu ya watoa roho ni usiku pia
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Tafakuri ya yajayo..!!!

    hulali jamaa??
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Sifa za kiongozi bora

    anayesubiriwa na malaika gabriel na Michael huko mbinguni wamuachie kiti cha utawala
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

    kweli kabisa...walianza kidogokidogo kuingiza ka finger kwenye 0713 wakaona watu wametulia zikaja fingers mbili sasa umeingia mkono majitu yametulia,watatuburuza sana ,dah
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

    duh leo sniper ,,sijui bashite kampa maagizo gani,walimkosa kwenye ujinga wa list ya madawa sijui itakuwaje ha,sniper anaaangalia kwa jicho la machuki na roho nyeusi ya kikolomije kabisa
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Tarime: Maisha Yangu yako hatarini

    MAISHA YANGU YAKO HATARINI Namshukuru sana mwenyezi Mungu kwa kunilinda hadi hivi sasa nikiwa mzima wa afya njema. Ndugu zangu watanzania wenzangu nimeona niwajuze juu ya njama chafu zinazopagwa juu yangu za kuniteka, kunipiga hadi kuniuwa zinazopagwa na baadhi ya viongozi wa chama cha...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

    Huyu bwana sniper ni mystery sijui siyo mystery..agh awamu ya tano inachekesha sana baada ya issue ya nape na waziri kusema huyu jamaa kapatikana,Igp kusema anatafutwa,Rpc wa kinondoni kusema hawamjui,bodigadi huyu wa bashite ambaye hata kina wolper watakuapia kwa Mungu jinsi alivyo na masifa...
Back
Top Bottom