kutokana na mkopo utolewao na HESLB hususani 'tuition fee' kutokidhi mahitaji halisi ya wanachuo tulio wengi na hii ni kutokana na hali halisi za famila zetu. basi yeyote anayejua VYANZO VINGINE iwe ni mashirika binafsi, taasisi za dini, n.k ....tafadhali atushirikishe.....tutangulize utu na...
wanajamvi hii habar ilikuwa hot sana . cjui kinachoendelea mpaka . au walizungumza kwa sababu walitakiwa kuzungumza na sio kwamba walikuwa na cha kuzungumza......mwenye kuelewa kuhusu hili tafadhal wakuu
japokuwa sio mm, ila naomba nkujulishe kuwasiliana na wizara ni haki ya kila mwananchi anaetaka kufanya ivo, hata wa darasa la saba atakuwa anajua hilo......sasa we cjui n wa darasa la ngap
nlisoma pale n wakat naenda ckuwa na join instruction
nlpewa nliporpot zen nkaenda nunua mahitaji.......... bt kwa kuanzia --surual nyeus, shat nyeupe mikono mirefu, viatu vyeus
....zaid pesa coz shule iko town so mahitaj yote(godoro,masweta nk) yanapatikana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.