Inbox yako haijaa wadada wa JF maana jimbo lipo huru (just a jalk). Ulicho fanya ni cha kiume sana aisee hongera sana jitahidi uhudumie watoto maana hata huko mahakamani wamesha kuona kua huna hatia kwenye hili. Ikifika muda wale wanao weza kwenda bording wapeleke utapata uhuru wa kwenda kuwaona...
Nadhani kaongelea kwa wakati uliopo na yeye ni muhusika mkuu hata alipo kua haulaga alikua anaongelea kwa wakati uliopo as if ni kitu kinachoendelea mda huu. Ni sehemu nyingi hasimulii kama ni wakati uliopita labda aliya nukuu matukio.
Watakao shangilia hili ni wale ambao hawajawahi kulima ila kwa mkulima hili ni pigo kubwa. Kuna mwaka nililima nikawa nasubiri mda wa bei nzuri niuze kilicho nikuta sitaki tena kurudi shambani tena maisha yangu yote. Wakati wa mavuno gunia la mpunga liliuzwa sh55 nilisubiri miezi 7 badae...
Kama unaweza kuwasiliana nae ebu msaidieni huyu dogo anapotea kakubari kua tambara la deki. Club imesha sema kwa maandishi kua kama anaondoka club zifike mezani ziweke bids basi hawawezi kataa offa zitakazo kuja.
Kwa hiyo miaka3 alikubaliana nayo na sio aliwekewa bila kujua kama alivosema. Akae zake kitaa mpaka 2024. Na ile milioni 100 alio rudishiwa haitoshi kwenda cas au fatma karume kaimaliza yote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.