Habari wana JF
Mapenzi yapo tangu enzi na enzi, mapenzi yanaleta hisia tofauti tofauti katika maisha ya mwanadamu iwe furaha huzuni, hasira msongo wa mawazo n.k.
Maada yangu ya leo inajikita katika maumivu ya mapenzi yanayo sababisha moyo kujeruhiwa, yanayo sababisha moyo kuvuja damu.
Mapenzi...
Hamjambo wana jf
Natumaini nyote mpo na Afya tele, naombeni majibu yenu kwenye mjadala huo apo chini natumaini humu kuna wataalamu wa mambo haya, natanguliza shukrani za dhati.
SWALI?
Ni kwasababu gani wakati wa full moon au (mwezi mpevu) watu wengi huwa wehu au vichaa, full moon ikiisha...
Naitwa zaza, nina Miaka 23, nina makazi Mbeya, natafuta mke wa kuishi naye uchumba hadi ndoa. Umri asizidi miaka 25, hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Awe mkristo vinginevyo awe tayari kubadili dini. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox...
Naitwa zaza
Nina Miaka 23,
Natafuta mke wa kuishi nae uchumba hadi ndoa, Umri asizidi miaka 25, , hofu ya Mungu kwake ni kipaumbele kwangu, awe mpambanaji na mwenye kujiheshimu. Seriously upweke nimechoka.
Karibu inbox kufahamiana zaidi.
Nina makazi mbeya
Usije Inbox kama haupo serious plz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.