Recent content by Zawadia

  1. Z

    Naombeni ushauri wenu, Mpenzi wangu amekutwa na maambukizi ya VVU

    Ndugu mtoa mada kwanza pole kwa majanga yaliyokukuta,Kwa uelewa wangu mdogo nilionao virusi vya Ukimwi vinaweza kuonekana kuanzia kipindi cha siku (90) tisini / Miezi mitatu mara tu baada yakuingia mwilini kwakutumia vipimo vya rapid test ambavyo vinapatkana kwa hizi hospitali zetu za kawaida na...
  2. Z

    Wale wa SUA mkopo huu hapa

    jaman muhas liniii na jtatu tunafungua chuo na mzeee hana hata uelekeo wa kulipa ada,mtoto wa mkulima
  3. Z

    Bifu linaloendelea kati ya TCU na vyuo vya private

    Ada za private ni kubwa mno hata Heslb wakkupa 100% utatakiwa kuongeza kiac kingne hyo nayo ni sababu inayofanya watu wengi wasiombe private.
  4. Z

    National Council for Technical Education (NACTE) Wanafunzi walioomba Shahada ya kwanza

    Poleni Sana naumia utadhani ni Mimi ndiye ninaepitia situation kama yenu. Ila Mungu mkubwa lisemwalo lipo kuweni wavumilivu naamini hyo j3 na nyie mambo yatkuwa mazuri. Ila hawajui tu nyie wa Equivalent mnahtaji mda zaidi kwa wale ambao wamesha ajiriwa process ya ruhusa nayo huchukua mda mrefu...
  5. Z

    Bachelor of science in Physiotherapy

    Inawezekana.Hiyo course ya Physiotherapy kwa hapa Tanzania inatolewa chuo cha KCMUCo pekee,Pia ni miaka minne kwa wale direct from school na miaka mitatu kwa wale Inservice.
  6. Z

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi ya bachelor of science in health information systems

    Mi ninavyofahamu watu ambao husoma hiyo course ya Health management system wanaajiriwa kama Katibu wa hospitali.
  7. Z

    Nimepata wa kunifadhili masomo yangu, lakini kuna hili

    Pole ndugu,Nyie mnao mbeza ni kwavile hayajawakuta.Mungu mkubwa naamini utafanikiwa.usikate tamaa.Hiyo course ya Pharmacy umechaguliwa chuo gani?Pia tofauti ya ada kati ya hivyo vyuo viwili ipoje?Kiwango cha mshahara kwa course za diploma upande wa sekta ya afya ni sawa kwahyo kutokana na hali...
  8. Z

    Msaada wa mawazo

    Kuumia kwako ni jbu tosha kuwa unampenda.
  9. Z

    Wasioolewa na kujiamini kupitia vitu

    Duh mbona hivyo vote hufanywa na walioolewa pia huo ni mtazamo wako tuu bnafc.
  10. Z

    Nahisi simpendi mke wangu

    Pole sana.Kweli kwenye miti hapana wajenzi.Anaona unampenda ndo maana anakunyanyasa.
  11. Z

    Mke wangu nimemchoka, nimeanza kutembea na mke wa rafiki yangu

    Usichopenda kufanyiwa basi usikifanye kwa mwenzio.
  12. Z

    Hivi hii ahadi ya wazazi hawa wawili marafiki kwa watoto wao ni sahihi kweli?

    Habari zenu? Jamani nina rafiki yangu alikuwa na mchumba wake ambae walikuwa wanapendana sana na walikuwa wameahidiana kuja kuoana. Muda ulipofika yule mwanaume alienda kuwaambia wazazi wake, lakini mama yake alikataa akasema hamtambui huyo mchumba wake na kuna mdada mwingine ambae yeye...
  13. Z

    Mjadala: Je unadhani ni halali, tofauti ya dini au kabila iamue hatima ya penzi lako

    Siyo halali lakini hlo swala lipo Sana ktk jamii zetu na linazidi kukua.Wapo ambao hutengwa kbsa pale wanapoenda kinyume na ndugu wanavyopenda.Lakini wengne hukomaa hivyohivyo Kama huyo mwenzi ulienae anakuw anakusupport na kushirikiana nawe kwa kila jambo bila kusikiliza maneno ya watu.
  14. Z

    Jamani hashiki

    Swala la kuweza kupata mtoto ni majaaliwa yake Mwenyezi Mungu pia tatizo laweza kuwa la mmoja yeyote Kati yenu siyo lazima iwe jinsia Fulani,Sijui kwanini wengine wanazitoa wakati wengine wanazitafuta kwa dhati.Ila naamini endeleeni kujaribu naamini mtakuja fanikiwa.
  15. Z

    Nahisi nilipenda nisipopendwa

    Ahsanteni wote kwakunitia moyo,Nimefarijika Sana na nimepata amani tele moyoni.
Back
Top Bottom