Recent content by Zanzibar-ASP

  1. Zanzibar-ASP

    Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Hili ni angalizo tu, hapa nchini sio mahali salama sana kuripoti habari huru, wahuni wako serious mnoo. Kwa namna Msigwa alivyopata kiwewe cha ghafla na kupanic ghafla, inaashiria wahuni wamejipanga kikamilifu dhidi ya JF. Kwa kuwa mahali pekee pa uhakika palipobakia kupata habari huru na...
  2. Zanzibar-ASP

    Gerson Msigwa jifunze kukaa kimya na kuheshimu ofisi za watu, hili la uvamizi wa JF limekuanika vibaya na kukutengenezea chuki mbaya

    Kuwa msemaji wa serikali sio kukurupuka kila wakati kujibu chochote, hicho kitu kimeharibu kabisa taswira ya Grison Msigwa. Ni vyema Msigwa akaanza upya kujifunza mipaka ya kazi yake na kuwa muangalifu. Msigwa ni msemaji wa serikali, na sio msemaji wa vyombo vya dola, sio msemaji wa mahakama...
  3. Zanzibar-ASP

    Mahojiano ya Rostam na Tido Mhando ni maigizo kwa 100% (staged interview)

    Nimesikiliza na kutazama kwa makini mahojiano kamili kati ta Rostam Aziz na Tido Mhando ambayo yamerushwa hewani kupitia Azam Tv (UTV) kuanzia mida ya saa tatu usiku mpaka mida ya saa nne na dakika kadhaa usiku huu (tarehe 5/9/2025). Na bila kumumunya maneno, mahojiano yale yalikuwa ni maigizo...
  4. Zanzibar-ASP

    Video:-Mwenyekiti wetu wa KATAA WAHUNI Akiserebuka uhakika

    Kipindi hicho akila kuku kwa mrija wa kijani huku akiratibu na kubariki wizi, utekaji, udalali wa kisiasa.
  5. Zanzibar-ASP

    Huenda Ufisadi wa tenda ya sare za Polisi Anjela alikuwa mbuzi wa kafara tu

    Hakuna mtu wa kawaida kuweza kupata tenda nzito nzito za majeshi bila mkono wa mwanasiasa mkuu katika nchi. Haya ni maswali muhimu. 1. Anjela alipataje pataje ile tenda ya ununuzi wa sare za Polisi kirahisi rahisi hivyo? 2. Anjela alipataje ujasiri wa kuvuta mpunga mrefu vile na kupotea nao...
  6. Zanzibar-ASP

    GE2025 Dkt. Bashiru ajitenga na Polepole, asema awamu ya 6 inafanya vizuri zaidi

    Ipo siku huyo Bashiru naye atatema bungo. Kwa sasa atasifia tu, maana unafiki ndio utamaduni wa kudumu wa CCM. Hata Pole pole alikuwa hivyo hivyo kama Bashiru, maji yalipozidi unga akamwaga sufuria la kupikia ugali.
  7. Zanzibar-ASP

    Polepole apuuzwe kuhusu gesi

    Hivi mleta una habari kuwa serikali inatoa ruzuku ya pesa ndefu kwa wamiliki na waigizaji wa gesi hapa Tanzania? Kwa kifupi kabisa, mitungi wa gesi ilipaswa kugawiwa bureee, gesi uuziwe tena kwa bei ndogo sana.
  8. Zanzibar-ASP

    Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

    Nimefuatilia hatua kwa hatua mijadala ya Pole pole na kugundua wazi kuwa, kuna mamilioni ya watanzania wanamfuatilia kwa kina Pole pole kile alichokiongea na wengi wao wanamuelewa na kumuamini. Kama kuna namna CCM ilipaswa kumdhibiti kabla lakini kwa sasa imechelewa mnoo, sijui wafanyeje? Hapa...
  9. Zanzibar-ASP

    Hospitali zinazozuia maiti kuzikwa ili kushinikiza ndugu walipe gharama za matibabu, zinapaswa kupongezwa na kuungwa mkono

    Kama kuna jambo linalopaswa kupongezwa sana basi hospitali zinazozuia maiti kuchukuliwa na kwenda kuzikwa kama njia ya kushikinikiza walipwe kwanza gharama za matibabu waliyotoa kwa mgonjwa ambaye ni marehemu. Kwanini? Sababu ni hizi hapa chini. 1. Hiyo inaashiria kuwa, Hospitali hizo...
  10. Zanzibar-ASP

    GE2025 Rais Samia: Tutapiga marufuku hospitali yoyote kuzuia miili ya marehemu kuchukuliwa na ndugu zao hata kama gharama za matibabu hazijalipwa

    Kitakachotokea ni kwa hospitali kutompa matibabu mgonjwa mwenye hali mbaya ili kukwepa mzigo wa kuwadai ndugu malipo ya huduma.
  11. Zanzibar-ASP

    Ukweli Mchungu: Uki -mstudy kwa makini Mzee Wassira, utagundua kwamba huyu ni Mzee mwenye akili nyingi sana

    Kwa hiyo hizo akili nyingi za Wassira zimekuja baada ya kuwa mzee au tangu akiwa kijana?
  12. Zanzibar-ASP

    Mama Mwenye nyumba wangu anafungulia redio mpaka mwisho NIFANYEJE ahame?

    Nunua Subwofer yenye sauti kubwa kama hiyo, halafu akifungulia ya kwake wewe fungulia kwaya kwa sauti ya juu, na muda ukiona ndio anaacha na wewe unaacha. Upande wa pili, muda atakayozima ya kwake wewe ndio fungulia ya kwako.
Back
Top Bottom