Mwambie afunge kwanza
ndoa af sherehe ya harusi watafanya tu baadae mambo yakijipa au at least mkishapunguza punguza majukumu.
Wanavaa vizuri kanzu safi, Shela ya kukodi kalii, make up haksool na Vipiko piko nini bas hapo mchawi iphone tuu. Mnapiga picha kalii mnapost ushahidi bas shuuli...
My favorite kinywaji ni embe + limao + tangawizi
Au ndimu, mint na sprite (najua hii sio juice ila ni kinywaji changu pendwa)
Nb: Napenda uchachu uchachu
Israel wana hasira na Iran kwasab Iran iliwaonesha dharau ikatuma drone mchana kweupee IDF wakajiharishia Lo Israel wanataka waoneshe mabavu ili kulinda reputation.
Sasa kama Gaza kamji kadogo vile hakana hata teknolojia wala jeshi la maana wameshindwa kukafuta wanatumia nguvu nyingiiii lakini...
Ndio, na ndo mashetani hayohayo tunawauzia wachungaji wenu wanayavaa kwenye pete af wanawashika vichwa kuwachota akili ili muwe mbu mbu mbu daima milele msishtuke kuwa wanawaibia
Alafuuuuu hii sio vita ya kidini jamani. Haya ni mauaji ya kimbari (Genocide) wanaouliwa na wanaoumia ni raia wa kawaida; wanawake, wanaume, wazee na watoto wadogo. Waisrael wenyewe wanaondoka nchini kwao kwasab hakuna amani na huku Palestine watu wanalipuliwa kila kukicha.
WANAOATHIRIKA NI...
😂😂😂😂😂ko wewe ukiona vile wachungaji wa mchongo wanaombea mtu wanamshika kichwa af anaanguka ndo unaamini jina la kristo linamuunguza jini🤣🤣 mtaendelea kuwatajirisha hadi akili ziwakae sawa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.