Recent content by zamtaya_pr

  1. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, naona kuna haja ya kulitazama upya Fao la Kujitoa katika Mifuko ya Hifadhi za Jamii

    Awali ya yote napenda kukupongeza kwa namna ulivyopokea kijiti cha mtangulizi wako Hayati Dkt. JPM, hongera na endelea hivyo hivyo. Fao la kujitoa(withdraw benefits) kwa wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii imekua ndio mwokozi na chanzo kikubwa cha mitaji kwa wanachama wanaofukuzwa au...
  2. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wakili Albert Msando atangaza nia Ubunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia CCM

    Utampoza boss wako bure!
  3. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga NHC

    Ahasante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  4. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Nyumba za kupanga NHC

    Wakuu habari na poleni na majukumu. Kwa heshima na taadhima naomba mwenye kujua utaratibu utakaoniwezesha kupata nyumba ya kupanga ya nhc ndani ya Dar es salaam kwa gharama ya kitanzania, nyumba yenye vyumba viwili na sebule. Nashukuru sana. Kwa msaada tuwasiliane pm. Sent using Jamii Forums...
  5. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nyumba za kupanga Nhc

    Wakuu habari na poleni na majukumu. Kwa heshima na taadhima naomba mwenye kujua utaratibu utakaoniwezesha kupata nyumba ya kupanga ya nhc ndani ya Dar es salaam kwa gharama ya kitanzania, nyumba yenye vyumba viwili na sebule. Nashukuru sana. Kwa msaada tuwasiliane pm. Sent using Jamii Forums...
  6. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Job opportunities

    All the best
  7. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Job opportunities

    Leo ndo mwisho wakuu.jaribuni bahati zenu.
  8. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Job opportunities

    Aisee, so hapo mtu atafuniwe kila kitu ,
  9. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Job opportunities

    VACANCY ADVERTISEMENT Bnbm building materials industry Tanzania limited is the company which own gypsum factory at Kibaha。 The company has the following vacancy to be filled by young, energetic, self-motivated Tanzanian. (1) Mechanical engineering technicians Graduate from any recognized...
  10. zamtaya_pr

  11. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Job opportunities

    Kila la kheri
  12. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Magari ya Usalama wa Taifa kutanua wrong side kibabe Tutarajie ajali mbaya zinazozuilika

    We umejuaje kama ni usalama wa taifa?
  13. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Assistant accountant

    UPDATES. TAYARI TUMESHAFANYA INTERVIEW KWA NAFASI HII. KWA AMBAYE HAKUFANIKIWA KUITWA KWENYR INTERVIEW, CV TUMEZIHIFADHI NA TUTAWASILIANA NANYI PINDI NAFASI ITAKAPOPATIKANA KULINGANA NA WASIFU WENU.AHSANTENI SANA
  14. zamtaya_pr

    JamiiForums Tanzania Assistant accountant

    Kesho kutwa.
Back
Top Bottom