Lameck Mkumbo Madelu ni jina halisi la mh Mwigulu Nchemba.
Akiwa anasoma shule ya msingi Makunda kata ya Kyengege tarafa ya Kinampanda wilaya ya Iramba mkoa wa Singida, Mh Lameck Mkumbo Madelu alifeli mtihani wa taifa darasa la saba, baada ya kufeli huko akawa anatafuta njia ya kurudia...
sio upuuzi nakueleza fact;makanisa ambayo mwigulu nchemba ameyanunua kwa kuwapa hela na kuwanunulia magitaa na kuyatumia kama uchochoro kisiasa 1.k.k.k.t kyengege 2.e.a.g.t kinampanda sio shutuma ni ukweli uliowazi na kila mtu anajua
tatizo huelewi mkutano ulifanyika wapi na walioenda kuvuruga mkutano walitoka wapi
mkutano ulifanyika tarafa ya ndago kata ya ndago kijiji cha nguvumali kiwanja cha stend ambacho kipo karibu na kituo cha polisi,hao vijana waliokusanywa toka mgambo ulemo na mgodin walikodiwa hiece ambayo ni...
Huo ndoo ukweli....na ukweli unaumaaa....utamwona mwigulu ni mtu mzuri sema sisi tunaeishi nae tunamjui vizuri...huyu jamaa ni mtu mwenye roho mbaya sana
Toka huyu jamaa awe mbunge ameingiza propaganda za magamba Katika makanisa
KUNA KANISA MOJA LA K.K.K.T HAPA KYENGEGE ambako ndo kata atokayo bwana NCHEMBA limegeuka Kanisa la CCM vikao vyote vya siri vya CCM hufanyika katika KANISA HILI,NADHANI RUSHWA AMEACHA KUWAPA WAUZA KARANGA KAMA...
Hao vijana wako siku nyingi sana wanafundishwa mgambo hapo ULEMO siku moja kabla ya MKUTANO wa CHADEMA MWIGULU alirudi katika Kijiji chake cha MAKUNDA kata yake KYENGEGE na kuoganize mpango mzima...AMBAO HAO VIJANA WALIGAWANYWA MAKUNDI MATATU..KUNDI LA KWANZA LILIENDA NDAGO KWA HIECE ILIYOKODIWA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.