Fujo za Iramba: Waliofanya fujo wanatoka Dar (soma majina)

Inasemekana wameshakiri kuwa wametumwa na Mwigulu kuja kufanya fujo mkutanoni, ila Polisi imepata kigugumizi kuweka mambo hadharani, wametaka ushauri kutoka kwa wakubwa zao. Msijeshangaa kesi hii ikazimika kiaina.
 
siasa za Tanzania ni hatari sana kwa usalama wa taifa letu. naona kila dalili na amani kufikia mwisho.
 
Ngoja nimaalizie kwanza kuangalia pambano la yanga inaongoza 6 -0 . Then tumalizie ile hotuba ya Vicent then nitarudi........
 
ccm imelaaniwa na wafuasi wake.kwa akili dhaifu walidhani hao vijana watafanya fujo ya kuharibu mkutano lakini matokeo yake wamesababisha kifo cha Yohana.Mungu atuhurumie na taifa hili linalozalisha baadhi ya viongozi wenye roho mbaya za kiibilisi
 
chemba ya choo mpuuzi sana.., political moron.., jinga kabisa.., afu sikujua jitu zima kama lile linakua kama toto dogo..,

afterall, time will tell.., ccm will certainly fall, just like any other dictatorial party....,
the higher they climbed, the further they will fall
 
  • Thanks
Reactions: Aza
Maswali:

1. Hao vijana waliingia lini Singida? na walipanga kuondoka lini?

. Walisafiri pamoja? Na wanajuana? kama ndio kwa muda gani?

3. Walishafika Singida kabla? Kama jibu ndiyo, lini na kwa shughuli gani? Walikuwa wote?

4. Dar es Salaam wanafanya biashara pamoja, na eneo lao la biashara liko mahali gani?

5. Walisikia toka kwa nani kwamba CHADEMA walikuwa na mkutano? na waliambiwa no viongozi gani watahutubia?

6. Mbali na kuhudhuria mkutano wa CHADEMA, walifanya nini kingine siku/kabla ya mkutano huo?

7. Wanamjua Mwigulu Nchemba? au walishasikia hilo jina? na wanafikiri ni nani?

8. Wametembelea sehemu gani nyingine ndani na nje ya Tanzania kwa miezi 12 iliyopita?

9. Mbali na mkoa wa Singida ni mkoa gani mwingine huwa wananunua mazao, na lini mara ya mwisho wamenunua huko?

10.Wanaweza kusema huu ni msimu wa mazao gani Singida? Na mkoa gani unazalisha nafaka kwa wingi zaidi hapa Tanzania?

Hao vijana wako siku nyingi sana wanafundishwa mgambo hapo ULEMO siku moja kabla ya MKUTANO wa CHADEMA MWIGULU alirudi katika Kijiji chake cha MAKUNDA kata yake KYENGEGE na kuoganize mpango mzima...AMBAO HAO VIJANA WALIGAWANYWA MAKUNDI MATATU..KUNDI LA KWANZA LILIENDA NDAGO KWA HIECE ILIYOKODIWA KIOMBOI,LA PILI LILIENDA KINAMPANDA,NA LA TATU LILIBAKI KYENGEGE AMBAKO CHADEMA ILIKUWA IPITIE IKIELEKEA KINAMPANDA,KIBAYA ZAIDI MWIGULU AMEKUWA AKITUMIA SIMU ZA WAMAMA WA KIJIJINI KWAKE KUTOA KAULI ZA VITISHO KWA VIONGOZI WA CHADEMA WALIOKO KYENGEGE NA WANACHAMA KWAMBA WASIKANYAGE KIJIJINI KWAKE WATAUWAWA
 
  • Thanks
Reactions: FJM
kwenye bibilia kuna verse inasema anayelala na mke wa mtu huyo ni mjinga kabisa..kwa hali hii tutarajie matukio ya ajabu nayakutisha yataendelea kutokea kama utendaji wa kazi dola usipothibiti na rais kawapiga stop wanaokatili na kunyanyasa raia wema
 
Sasa kati ya tcb na Madoro nani anaweza kuwa anatulisha habari sahihi? Kimsingi kama Madoro ametokea mahakamani kweli, maswali aliyouliza yanahitaji majibu. Huu ni umafiaso wa hali ya juu. Ila kama wengine walivyosema humu ndani, suala la umasikini ni janga kwa taifa. You can imagine mtu ana-value just ten thousand kuendesha funjo ambayo hatima yake haijui maana inaweza ku-gharimu hata maisha ya muanzisha fujo mwenyewe. Mbaya zaidi, ni nani ambaye ataweza kusafiri that distance (Dar -Singida) kwa posho ya elfu kumi kuendesha fujo? Nadhani kuna kitu hakipo sawa hapa!
Mkuu Madoro,
Me sijakuelewa unaposema Vijana hao Wanahudumiwa na CCM wakati TBCCM imetangaza waliokamatwa na kufikishwa mahakamani ni CDM!?
 
Fikirieni ccm inashinda uchaguzi 2015 na Rais huyo mpya anamteua MWIGULU NCHEMBA kua waziri wa mambo ya ndani...hee mbona tutakua tunacharazwa bakora mtaani..maana huyu jamaa anaonekana ana roho ya kikatili,kijambazi na ni wa kuogopwa mno

Hapo kwenye red ni kweli kabisa. Jamaa ni hatari sana!
 
Maswali:

1. Hao vijana waliingia lini Singida? na walipanga kuondoka lini?

. Walisafiri pamoja? Na wanajuana? kama ndio kwa muda gani?

3. Walishafika Singida kabla? Kama jibu ndiyo, lini na kwa shughuli gani? Walikuwa wote?

4. Dar es Salaam wanafanya biashara pamoja, na eneo lao la biashara liko mahali gani?

5. Walisikia toka kwa nani kwamba CHADEMA walikuwa na mkutano? na waliambiwa no viongozi gani watahutubia?

6. Mbali na kuhudhuria mkutano wa CHADEMA, walifanya nini kingine siku/kabla ya mkutano huo?

7. Wanamjua Mwigulu Nchemba? au walishasikia hilo jina? na wanafikiri ni nani?

8. Wametembelea sehemu gani nyingine ndani na nje ya Tanzania kwa miezi 12 iliyopita?

9. Mbali na mkoa wa Singida ni mkoa gani mwingine huwa wananunua mazao, na lini mara ya mwisho wamenunua huko?

10.Wanaweza kusema huu ni msimu wa mazao gani Singida? Na mkoa gani unazalisha nafaka kwa wingi zaidi hapa Tanzania?

Hapa ndo muda wa swali moja majibu saba!!!!
 
Tukiwaambia kuwa CCM mbinu zenu zime "ekisipaya" huwa hamusikii!!

Badilisheni, mbinu changanyeni angalau na ukweli kidogo potelea mbali mkiwa "sakirifaisi" baadhi ya watu....!!

Hata kama ni mwigulu nchemba au nani!!..

Kutegemea propaganda pekee kutawamaliza kabisa watz wamewastukia!!
 
Nita-comment baada ya kuthibitisha kuwa hao watatu wa CDM wamepewa dhamana kwani mwanzoni tuliambiwa wanashitakiwa kwa mauaji.
 
Back
Top Bottom