Sikonge City
Member
- Jul 15, 2012
- 68
- 14
Kazi ipo hilo ni Kanisa au Ukumbi wa Mikutano? ila kwa hali ya iramba ilivyo duni ukute posho ya mtumishi anatoa nchemba so ananyenyekea kuliko aliyemuita yaani Yahweh
tatizo ni kanisa linalokubali kutumika na wala sio anaelitumia.na allegations kama hii ni kwavile imetolewa na mkuima kama wewe ambae kila mtu anajua hujui unachofanya ila ni shutuma nzito sana kwa kanisa.ila hakuna chakukufanya inabidi tukubaliane na upuuuzi wako,
Mungu anachukia nyumba za ibada kuzifanya kuwa vikao vya mambo ya dunia.kanisa hilo lisitarajie baraka za wokovu otherwise watubu
Kwani chadema 2010 hamkufanya kampeni makanisani?
Kazi ipo hilo ni Kanisa au Ukumbi wa Mikutano? ila kwa hali ya iramba ilivyo duni ukute posho ya mtumishi anatoa nchemba so ananyenyekea kuliko aliyemuita yaani Yahweh
Akivuta picha kuwa mpinzani wake mkubwa ktk uchaguzi wa 2015 ni Dr. Kitila Mkumbo nadhani tumbo la kuharisha linambana ghafla. Mwacheni kwani anayo kila sababu ya kutapa tapa.
CCM na makanisa,misikiti damu damu huku wananchi wakitaabikatupe sosi
[h=6]John Mnyika
Ommy Gm subiri wacha papara watu wafanye kazi yao kama wewe unavyo fanya kazi zako akuna aliye juu ya sheriaabout an hour ago via mobile · Like · 2
James Rock Mwakibinga Sasa mwigulu ulimshindwa bungeni ukamfuata mpka jimbon kwake kufanya mauaji mkaenda na sera yenu ya Vua Uhai,Vaa sanda wana Iramba magharibi wanamkubali mbunge wao vilivyo hakuna kitila mkumbo wala naninabout an hour ago via mobile · Like · 2
Kelvin Ngowi Challenges are opportunities, in every situation he challenger never benefits much ..... worry notabout an hour ago · Like
Hussein Mtoro kwan wewe wasi wasi wako nini kama sio muhusika? Acha uoga mtoto wa kiume wewe.subiri sheria ifuate mkondo wake kupost fb hayo maele yako haitakusaidiaabout an hour ago via mobile · Like · 4
Dixon Mpemba MSIFANYE MCHEZO NA CHOMBO CHA DOLA WEWE.about an hour ago · Like
Angela Kavishe Pamoja kamanda MUNGU yu pamoja naweabout an hour ago · Like
James Rock Mwakibinga ‎:::..ACHA WASI WASI MNYIKA TULIZANA CHOMBO CHA DOLA KIFANYE KAZI YAKE SYO KUJA KULALAMA FB SAWA....POLIS WATALIFIKISHA MAHAKAMANI NAWE UTALIJIBU HUKU SYO FB..about an hour ago via mobile · Like · 1
Asenga Abubakar mbona nyumba zako unazo nunua ubungo hauweki fesbk?59 minutes ago · Like · 1
Ommy Gm mungu yupo kwa kila mtu na amesema mtii mamlak mlizoweka madarakani kwa iyo tulia usiwe na shaka wala mapepe58 minutes ago via mobile · Like · 1
Hussein Mtoro teh jaman magwanda anagwaya polisi kumbe?57 minutes ago via mobile · Like
Wakati Mtulia naomba ashatakiwe iwe fundisha kwa wengine57 minutes ago · Like
James Rock Mwakibinga ‎::::yaani kila kitu anaapost fb,huyu jamaa akili zake banaaaaaa?ebu fikir kabla ya kupost54 minutes ago via mobile · Like · 1
Makeresia Pawa Pumba zenu wanasiasa-uchwara,
Philbert Ngatunga ‎James Rock Mwakibinga, hujui kama fb ndio tuko wapiga kura wake???52 minutes ago · Like
Makeresia Pawa Mikutano ya mauaji hao!
Kelvin Ngowi Kila taarifa inamalengo yake na kwa hili Mnyika amefanikiwa kukushirikisha swala hilo na umetoa maoni yako ili sura ikibadilika utarejea na masahihisho ..... that is clever politics. what if he never had a chance to say what he just said ...kumbuka kunavitisho vimemzunguka50 minutes ago · Like
Angela Kavishe haa haa@Assenga mbona ww husemi unavo2mika na nape or unaona kuonekana kwenye tv ndo atakupa ulaji?? magamba watoto kazi mnayo49 minutes ago · Like · 1
Wakati Mtulia ‎Angela Kavishe we mbona ndesa anavyok utumia cc atusemi45 minutes ago · Like · 1
Makeresia Pawa Anatafuata huruma ya wapambe wake kisiasa na umaarufu bandia,
Makeresia Pawa Hauna vitisho vyovyote ni mbwembwe tupu!40 minutes ago via mobile · Like
Agricola Mtei OLE WAKO UKANYAGE UBUNGO MNYIKA40 minutes ago · Like
Makeresia Pawa Mnyika kundi la wauaji (magaidi).35 minutes ago via mobile · Like
Semeni Nyerere MUNGU AWE NAWE, NA OLE WAO WADAI WE MTUHUMIWA PATACHMBIKA30 minutes ago via mobile · Like
Ommy Gm ‎@semeni ina maana unatishia dola una maanisha nini ?27 minutes ago via mobile · Like
Edward Mtey Hao vijana 7 kutoka tandika walifuata nini iramba25 minutes ago via mobile · Like
Bruno Kims ‎John Mnyika nilikupigia kura, nililinda kura zako siku tatu, USIOGOPE WALA USIHOFIE SISI TUKO NYUMA YAKO24 minutes ago · Like · 1
Dixon Mpemba Movement for CHAOS.(M4C)22 minutes ago · Like
Christopher Thomas Mullemwah ‎Asenga Abubakar hongera nimekusikiliza ITV Japo ulionekana kutojiandaa vema kwa baadhi ya maswali lakini nakupa hongera you did it guy.22 minutes ago · Like
Julius Jumanne mnyika nlikuwa nakuona kijana mwenzangu unapambana nikakukubali lakini kwa hili wewe ni muuaji mkuu,hutoki.ukiishinda sheria kwa mungu hutashinda.laana ya damu ya yohana itakutesa milele kwa uroho wako wa madaraka22 minutes ago · Like · 1
Dixon Mpemba ‎@Semeni hapachimbi popote tena mkianza hizo stlye itakula kwenu mbaya.21 minutes ago · Like
Costa John Kanyasu Ulikuwa kijana safi sana tena uliyejionesha kuwa mwenye busara lakini umejiingiza katika siasa za mabavu na vitisho na kuzani ndo utakuwa maarufu zaidi kumbe unapoteza umaarufu.21 minutes ago via mobile · Like · 1
Julius Jumanne wewe ni kijana una future ndefu,kwanini unakuwa mjinga ivo????kwann usiwe mstaarabu ukajijengea heshma mbele za jamii????shame on u mnyika21 minutes ago · Like · 1
Kirungi Amir ww mnyika,mwanzo ulionekana kijana makini.lkn kwa sasa umekuwa mshamba na zuzu nambari1,kwa ajili yakujitafutia umaarufu ili umpite zitto.ngoma ikilia sn mwishowwe ni kupasuka19 minutes ago · Like · 2
Julius Jumanne naona sasa umevaa sura yako na roho yako halisi baada ya sisi kukupa ubunge mana tumekupigania sana tangu wakati wa keenja hatukukata tamaa. sasa mimi kuanzia ile umeua nakupinga rasmi ww pamoja na chama chako magaidi wakubwa nyie.19 minutes ago · Like
Kirungi Amir mwana siasa anapata nn kutoa roho iliyoumbwa na Daniel Gingo Wa Mungu18 minutes ago · Like
Sylvester Yaredi utakoma mnyika,kiherehere chako,kilichokupeleka huko nini? ndo maana Mabumba alikueleza unawa....! eti hukuwepo.ptuuuu!15 minutes ago via mobile · Like · 1
Dixon Mpemba na kwenye katiba mpya tunaenda kuweka kipengele nchi hii hakuna aliyeko juu ya sheria na tunaanza na wewe.11 minutes ago · Like
Jackson Kanene Akiri zenu nyote mnao mtuhumu mnyika na Mauaji ni finyu na zimeishia pale 2lipo anzia sisi hivi kama Yohana tena mwenyekiti wa uvccmabwepande'Asinge kwenda kulusha mawe kwenye mkutano wa chadema je mauti ingempata???binafsi mm ni ccm damu but cpendezwi na jinsi 2navyowashutumu wenzetu kwa siasa za kupandikizwa'Nini lengo letu?10 minutes ago via mobile · Like · 1
Valentine Felix Mnyika mbunge wangu usitishike na maneno ya vitisho,ubungo sisi ndio tulikupa kura!!10 minutes ago via mobile · Like · 1
Hussein Mtoro teh mnyika magwanda nae anagwaya9 minutes ago via mobile · Like
Sylvester Yaredi kaa mlimpa kura ubungo kilichompeleka iramba ni nini?mdanganyeni tu avimbe kichwa.si angefanya mkutano ubungo! ovyooo!