Recent content by ZALALA

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa aongea na Watanzania; aahidi Katiba Mpya itapewa kipaumbele - Oktoba 23, 2015

    ungeandika kwa lugha ya taifa ingefaa sana maana hii code mixing ni hatari...."mhe lowassa" while delivering an english speech..
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mungai amlipua Lowassa kwa propaganda anazofanya

    atoe ripoti ya richmond coz ilianzia kipindi cha mkapa pia kuliko kuwaaminisha wananchi kuwa richmond lowassa ndo muasisi......! huu mwaka ccm mtawafufua wote ili wawasaidie lakin wapi...watu wamelichoka jina ccm ndo maana hata mtukane vipi hamueleweki....!
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Umeambiwa, Lowassa ni muongo, tapeli, fisadi, na bado una mshabikia! Una matatizo makubwa

    watu wenye data na ushahidi wanaendaga mahakamani na sio kwenye media.....mnaolazimisha lowassa amjibu aanze magufuli kumjibu alomwambia kauza nyumba za serikali kwa vimada wake....kama haendi mahakamani yeye ndo muongo na hizo detail za richmond anaungaunga tu coz hata yeye hajui na kama kweli...
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Kazi Kweli Kweli: Nani Amebadilika - Lowassa, Mimi au Wewe?

    kaka ukijiuliza sana ubongo utakuuma bure tu coz mwaka 2005 tuliahidiwa maisha bora kwa kila mtanzania...ndo haya haya maisha bora yanayowafanya watu wawe na uwezo huu wa kufikiri....ukibishana sana na watu mtagombana bure...saiv kila mtu abaki "akili za kuambiwa changanya na zako"
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aibuka shujaa mpya baada ya Nyerere nchini Tanzania. Wengi wapongeza msimamo wake

    Lowassa mmoja tu anawanyima usingizi wanaccm wote....mkimtaja taja sana msishangae oktoba mnajikuta kumpigia kura maana amewakaa sana akilini mwenu....mshamsema kuwa kapi mara oil chafu mara kinyesi bado mnaona haitoshi...saiv matusi yenu yameexpire tunasubiri mengine mapya....!
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aibuka shujaa mpya baada ya Nyerere nchini Tanzania. Wengi wapongeza msimamo wake

    kuhusu kujibiwa hoja zake hamna haja saana maana hata wale mafisadi 11 aliowataja akiwemo mkuu wa nchi hakuna aliyejitokeza kumjibu leo hii mnataka kulazimisha ajibiwe? mngewalazimisha na wale 10 waliobaki wajitokeze kumjibu.....!
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aibuka shujaa mpya baada ya Nyerere nchini Tanzania. Wengi wapongeza msimamo wake

    mtoa uzi ungejaribu kuongeza idadi ya watu uliowahoji maana umetia chumvi mno kwa kuhoji watu ambao hata 10 hawajafika....ungejaribu kumhoji slaa kuhusu tuhuma alizomtoleaga magufuli ambae nae ni mgombea urais....mnavyozidi kuyarudia ya slaa ndo mnazidi kuidimiza ccm....
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Dr Slaa aibuka shujaa mpya baada ya Nyerere nchini Tanzania. Wengi wapongeza msimamo wake

    imekuwaje leo mnasema msimamo wa slaa ni msimamo wa nyerere? wakati ndo nyie mlompachika majina ya ovyo kusema ni mzushi na mropokaji mkaenda mbali zaidi mkasema padri mzinifu...cha ajabu zaidi mmefurahi alipomkandia lowassa tu ila aliposema ccm ni sawa na choo cha mavi chenye vinyesi ni kama...
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Sababu za kuwaingiza ukawa Ikulu 25 Oct

    wanaccm mpaka sasa wanaonekana wamesahau maana ya ukawa ambapo mawazo yao yalichakachuliwa na viongozi wao...rasimu ya warioba ilichukua mawazo ya wananchi(wakiwemo wanaccm) ila viongozi wao wakayaedit....wanaccm wengi saiv hawajaribu kujenga hoja za chama chao zaidi ya kumuandama lowassa...
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbele: Slaa alisema CCM ni choo kichafu

    kaka we ni mmoja wa vijana waliobaki ccm ambao wanajenga hoja sio kutusi, hongera kwa hilo...alichokisema slaa choo hakijapakuliwa bali kimevurugwa maana kilikuwa na vinyesi vikuu 11 kimeondoka kimoja tu, vingne 10 vimesalia kwenye choo chake...hebu naomba jaribu pia kugusia kidogo kuhusu...
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Prof. Mbele: Slaa alisema CCM ni choo kichafu

    hata wewe kk naona bado upo kwenye kituko ambacho kipo kwenye ubora wake....unafananisha tz na ulaya & japan? ambapo moja ya sababu za umaskin tz utaambiwa the effect of kagera war, leo hii unaleta mfano irrelevant kabisa wakati japan ilipopigwa na mmarekan saiv wanaongoza kwa maisha bora...
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    wewe unaedai kuwa slaa kawaumiza wengi ndani ya cdm na kujifanya ghafla kuwa kipenzi chenu, mnasahau kuwa ndo ninyi mliompachika hayo majina ya padri mzinifu? kipi hasa ambacho kimekufanya leo slaa aonekane mwema kwako?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    mheshimiwa mbona na wewe kama vile umesahau kuhusu uvccm? madai yako ni sawa na ya kwenu uvccm, kipindi lowassa anafanikisha kumuingiza kikwete madarakani mlikuwa kimya tu na kumuona wa maana leo hii ameondoka mmeanza kumwandama na kumtusi daily mpaka mnasahau agenda za mgombea wenu...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

    Lowassa kawaibia nini? chuki ikizidi hupunguza logical reasoning...mtazidi kutusi mpaka mtachoka cha ajabu hata mkuu wa nchi anawashangaa maana yeye ndo anajua kila kitu wala hasemi chochote....mkitaka kujua kwa nini jamaa hapelekwi mahakamani muulizeni rais atawapa jibu...huu ni muda wa kampen...
  15. Z

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa siyo wa kupuuzwa

    mngekuwa vijana makini huu ndo ulikuwa mda wenu kujenga hoja na kuzinadi sera za mgombea wenu magufuli...cha ajabu matusi na tuhuma havijengi mwishowe mtajikuta mnajitusi wenyewe nafsini mwenu...sitaki kuamin kuwa wana ccm wamesahau kuhusu escrow ambapo wanajifanya hawaoni watuhumiwa wao ndo...
Back
Top Bottom