1. Mwenendo wa bunge lililopita ambao wananchi wengi walikuwa wakilalamikia, maamuzi ambayo hayakuonesha uzalendo. Lugha chafu, matusi na vijembe.
2. Ukwepeshaji wa mambo wakati wa bunge maalum la katiba. Mambo ya msingi ambayo yangeweka misingi ya uwajibikaji, utawala wa sheria, kupunguza madaraka ya raisi, ardhi kuwa chini ya wananchi badala ya raisi, tunu za taifa nk.
3. Watu wenye lugha ya kuudhi, kukejeli na hata kudhalilisha ndani ya ccm ndio wanaoonekana kuwa wa maana na kupewa nyadhiza za kuongoza jamii.
4. Idadi kubwa ya watu wanaotuhumiwa kwa ufisadi iko ndini ya ccm kuliko vyama vingine.
5. Tukimkubali magufuli, tutakuwa tumekubali katiba iliyopendekezwa na wabunge wa ccm badala ya wananchi.
6. Hatutafuti mtu mkamilifu kuongoza taifa, tunataka uwajibikaji wa kisiasa utakaoleta ushindani kimaendeleo. Hivyo chama tawala kikitoka madarakani, watajua kumbe wananchi wanayomamlaka kutuweka pembeni tusipowatumikia ipasavyo. Watakaoingia watakuwa na hofu hiyo hiyo. Ndiyo maana tunasema 25 oct ni UKAWA.