Recent content by Zakuska Lotima

  1. Z

    Serikali iachane na Elimu Bure, ni gharama sana!

    Mafwitanda! Uko sahihi ! Tatizo kubwa la JPM na watu wote wanaoongoza Serikali ya awamu ya tatu wamekurupuka as if tumepata uhuru Mwaka jana 2015 au tulikuwa vitani. Ukweli ni kwamba Serikali ni ile ile ya CCM kilichobadilika ni JK kumkabidhi JPM aongoze. Kwa sababu amepaniki na hakuwa na...
  2. Z

    Ukweli mchungu: Kikwete akiruhusu kura ya siri, Magufuli hatoboi

    Wenyele Tupatie cv ya Luhende na alikuwa ameajiriwa wapi kabla ya uteuzi. If you think ukishakuwa President kazi yako ni kuwapatia watu ajira kiaina then you are lost! Tanzania the level of official unemployment is around 40% sasa you are wasting your time kujadili ajira ya watu 200 ? It is a...
  3. Z

    Sera ya viwanda ikitimia 2020 nitahamia CCM

    Mkuu Mahanju Usitake kunichekesha nimetoka kushuhudia mahoka ya DRT na UDA wanavyofanya biashara kwa mazoea. Kama kuendesha mabasi yaani kusimamia tumeshindwa unaota viwanda by 2020? Baada ya vita vya Uganda Mwalimu alitudanganya tufunge mikanda kwa miezi 18 lakini baada ya miaka 20 yaani 1999...
  4. Z

    Organisation Structure ya Manispaa ya Ubungo ni kama tawi la Chama

    Kabombe! Shirikisha Ubongo wako na uhalisia. Enzi za Mwalimu wote tulikuwa wanachama wa CCM by default na huu umasikini na utegemezi plus kudumaa kwa Maendeleo including ukosefu wa Madawati anayoomba Makonda ni matokeo ya kuwaweka makada wa CCM kwenye safu za uongozi pasipo kuzingatia uwezo na...
  5. Z

    Eti Meneja wa City Style Hotel naye kawa DED wa Itigi. Jamani tuweni serious kama nchi

    JPM and his team is an example of having the right driver driving the wrong bus and seriously heading in the wrong direction. Anaelekea Mkuranga ila abiria wanaambiwa wasubiri the next station will be Chalinze , Morogoro and later Kibaigwa na hao abiria are possessed and have firm confidence...
  6. Z

    IGP Mangu fanya mawasiliano na Freeman Mbowe

    Assadsyria3! Wazo lako ni zuri Mimi sioni ubaya wake IGP Mangu nadhani ni msomi na if he throws in an olive brach is not a sign of weakness but strength. Jana niliona jinsi Boimet his counterpart in Kenya alivyo wajibu mawakili and the general public waliokuwa wanaandamana in the Republic of...
  7. Z

    Katibu Mkuu Utumishi aajiri akiwa amesitisha ajira zote serikalini

    Mzee wa sifa hayupo makini! Kila kitu kanyaga twende hatoi maagizo na kuweka mfumo wa kufuatilia. Wamechukua taasisi ya Urais bila maandalizi. If you look at the body language of the President you see somebody without confidence. Amekuwepo kwenye baraza la Mawaziri la Ccm under Mkapa and Kikwete...
  8. Z

    Kwa mujibu wa Standing Orders, DAS ni mtumishi wa Umma

    Mkuu Sunzu Watu wamejitoa ufahamu haswa kwa hii Serikali ya Mwendokasi ambayo akili yao kuamzia Rais hadi mjumbe wa Serikali ya mtaa wanataka kuanza kila kitu kwa kijiti. Hawa watu wnaovaa nguo za kijani wnafikiri kwamba makada WA CCM ndio wenye akili kuliko Watanzania wote na kwa ujinga wao...
  9. Z

    Hatimaye hoja ya msingi ya kambi ya upinzani bungeni kutoka nje imeonekana

    Babeli Una elimu gani? Do you what is a Ph.D. ? Kuwa na Ph.D. It has nothing to do with Knowledge? Siku hizi Ph.D. zimekwisha huwa watu wananunua hata Mzee push up alijipatia Ph.D. akiwa Waziri! Alyemtangulia alipewa Doctorates kibao hata Lyatonga anaitwa Dr! Alimaliza darasa la nane...
  10. Z

    Kuwatumia watalaam toka Rwanda ni kudharau watalaam wa Tanzania

    Nenda Lumumba mnakofundishwa kusema ndiyoo kwa kila kitu as long as ni fikra za Presidaa au Wateule wake type ya Tulia, Nchemba and the lot! Wabunge 200 plus can't even reason together it's a shame kila kitu utafuniwe don't share your ignorance buddy let us share knowledge! Kama hujui at least...
  11. Z

    Wasifu mdogo(CV) wa Alphayo Kidata

    Countrywide ! Shirikisha mwili wako na Ubongo nafikiri unatumia Masaburi kufikiria badala ya Ubongo. You some sort of a spinoff! The subject matter is entirely on uelewa wa masuala ya kodi ya Kamishina Mkuu wa TRA in the name of Alphayo Kadata. Ili kumtendea haki hapa jamii watu wanomba CV yake...
  12. Z

    Kuwatumia watalaam toka Rwanda ni kudharau watalaam wa Tanzania

    JPM could be right. Do you know why ? Wataalam wengi waliomsaidia Kagame to turn around Rwanda almost 75% ni Wanyarwanda waliokuwa Tanzania waliopewa madaraka na Rais aliyekuwa na Asili ya Rwanda. Baada ya Kagame kuchukua madara they went back to Rwanda. Kwa ajili ya Dictatorship ya Paul wengi...
  13. Z

    Wasifu mdogo(CV) wa Alphayo Kidata

    Ukiona mtu kapewa cheo cha kuwa CEO wa Mamlaka kubwa kama TRA na CV yake haiwekwi wazi ujue tu ni Mtu wa Kwetu Homeboy. I can't understand it appears elimu ya Alphayo na uelewa wa Kodi ni Tatizo. Nashauri aende kuchukua kozi ya wiki mbili pale Mikocheni Tax Institute ndio awe confirmed . He was...
  14. Z

    Rais Magufuli kama Rais Kagame?

    Hapo hakuna cha Maendeleo wala nini? Huwezi linganisha Tanzania na Rwanda. Kilicho bayana ni kuwa historia Ina tabia ya kujirudia! "What goes around comes around". Utatu wa Paul Kagame+ Yoweri Museveni + John Magufuli ni kuibuka upya kwa the Hima Empire! Hii ni kwa wale wasomi wazuri wa History...
  15. Z

    Kumekucha CCM, aliyepigwa rungu na Ndugai ateuliwa Ukuu wa Wilaya

    Mkuu Shilungo Hata Mimi siamini ushirikina lakini upo! Tangu enzi za Musa akitoka utumwani kwa Firauni. Ukweli ni kwamba Chilongani alipigwa rungu akazimia yaani Job Ndugai alimwachia Mungu na Daktari waamue hatima yake. Zikafanywa figusu figusu na wala kesi Polisi ilikosa ushahidi sasa...
Back
Top Bottom