Recent content by Zakayomfupi

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Rostam Azizi press conference yako imepuuzwa, nobody is interested in it/discussing it

    Tatizo la watu wenye akili ndogo a.k.a nyumbu huwa hawependi kusikia maoni au ukweli tofauti wa kile walichoaminishwa. Hili ni tatizo kubwa sana TZ ndio maana haishsngazi mpaka leo akina kiboko ya wachawi wana wafuasi.
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Hivi mstaafu Kikwete huwa haambiwi na kupewa taarifa kuwa watu wanamsema vibaya na kumchukia?

    Mbona hata wewe majirani zako wanakusema vibaya?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Wanaodhani ufisadi ni sifa au ujanja wamuulize Manji

    Manji ameshafariki. Kuna waliolamba tonetone zetu mpaka leo hawajatoa mapato na matumizi na wengine wameshakimbia nchini, hawa wapo hai ndio wa kuanza nao.
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo: Ofisi za JamiiForums, Mikocheni 'zimevamiwa'

    Kabadilishe pempasi dogo.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nalilia Taifa langu nazililia idara za Usalama wa Taifa, hakuna anayeona kesho ya Tanzania

    Utabiri wa 1,126,456 ndani ya miezi mitatu kutoka kwa wafuasi wa Braza K. Huu ndio urithi Lema aliowaachia baada ya kutokomea ughaibuni na michango yetu.
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Zero brainer hapewi heshima Tanzania, nje wanamtambua na kumheshimu

    Tz wanaopewa heshima ni waropokaji tu.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania ERDOGAN: Hakuna namna zaidi ya kuingia vita kamili na Israel kwa manufaa ya utu

    Dah mnyaturu kamzidi Erdogqn
  8. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Acha maelezo mengi kafanye kazi mkuu. Ukweli ni kuwa Braza K hawezi kukuletea chakula mezani.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    "Ukiwa huna kazi kila mtu aliyefanikiwa utamuona mwizi". Diamond Plantnum.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Diamond Platnumz: Fanyeni kazi, acheni lawama, kila awamu, kila uongozi mnalalamika

    Huo ni ukweli mchungu. Acheni kukesha mkizusha na kutukana fanyeni kazi.
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

    Kama hutaki kufuata taratibu jenga uone kama jengo halijashushwa. Umehamaki sana mkuu, nawewe umepigwa tonetone nini?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

    Kuna majizi mengine yamekimbia na hela za tonetone hajato mapato na matuzi hadi sasa.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ukipita kwenye Page ya Mange Instagram ndio utaona ni kwa namna gani Tz inatafunwa

    Yani source yako ni mange? Tuna kizazi cha ajabu sana.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kiwanja nikaanza kujenga bado natakiwa niende nikatafute kibali cha kujenga hii ikoje?

    Unaenda kwa wachora ramani wanaotambuliwa kisheria, kisha unapeleka kwa mhandisi mkuu kwa ajili ya approval ukiambatanisha na nyaraka za kiwanja then ndio unapewa kibali cha ujenzi.
Back
Top Bottom