Recent content by zaitmemee

  1. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania TECNO K8 INAUZWA

    Tecno K8 (Spark Pro) 5.5 inches display, 1280 pixels x 720 pixels Android v7.0 Nougat Quad-core 1.25GHz CPU 1/2GB RAM 16GB internal storage (micro SD up-to 32GB) 13MP back camera 8MP front camera 2G,3G & 4G networks Fingerprint scanner (back) 3000mAh battery Ni nzuri na haina shida yoyote...
  2. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nissan pick up inauzwa

    Ni ya mwaka 2000, imetembea kilometers 137,000km. TD 42 engine. Suspension safi kabisa, ina Air Condition, tairi mpya. Gari iko katika hali nzuri sana. Bei 30 million Tel: 0622 362651
  3. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Award Verification Number (AVN)

    Tayari mkuu
  4. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Award Verification Number (AVN)

    Chuo tayari wamepeleka matokeo, nikiingia kujaza taarifa zangu wanasema "Registration Number and Year of Graduation are not in our database". Hapo ndio nmekwama
  5. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Award Verification Number (AVN)

    Habari za muda huu, Mimi ni mwanafunzi niliemaliza diploma 2017, sasa nilikua nataka kupata Award Verification Number ili niweze kuendelea na elimu ya juu. vitu gani napaswa kuwa navyo ili nipate hiyo AVN. ASANTE
  6. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Shelf ya kioo inauzwa

    Ipo Dodoma, bei 70,000/=
  7. zaitmemee

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu akifika kileleni anatetemeka sana ( massive vibrations )

    Huo ni ugonjwa unaitwa Persistent Genital Arousal Disorder (PGAD).
  8. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania 2000 nissan pick up for sale

    Gari ipo Dodoma mjini.
  9. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania 2000 nissan pick up for sale

    Gari ni mzuri sana. Imetembea kilometers 120,000. TD 42 engine. Suspension safi kabisa. Haijawahi kuguswa chochote. Performance take ni nzuri sana. Bei 30mil Tuwaskliane 0714-943684
  10. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Photocopy machine inauzwa

    CANON IR 1610. Ipo Dodoma. Inafanya kazi vizuri tu. Bei ni 400,000/= Tuwasiliane 0714-943684
  11. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Vodacom bado wapo vizuri 2000/- 5GB
  12. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Download bure App za kulipia(Zinazouzwa)

    Aptoide
  13. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania KIOO CHA DELL LATITUDE E5400 KINAHITAJIKA DODOMA

    Nataka kioo cha laptop dell latitude e5400, nipo dodoma. 0739-943684
  14. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania HP DESKJET 1050A PRINTER INAUZWA 200,000/-

    Ni Three in One, (Prnter,Scanner,Copier) Printer ipo Dodoma! ni nzma na ina fanya kazi vizuri kabisa. tuwasiliane kwa 0739-943684
  15. zaitmemee

    JamiiForums Tanzania Msaada wana Pharmacy wa JamiiForums

    ApuG ni kweli kabisa, Omeprazole ni substute nzuri. maana zote ni proton pump inhibitor
Back
Top Bottom