Recent content by zainath

  1. Z

    JamiiForums Tanzania BOT tawi la Mtwara, kuna walioitwa?

    hi, kwa wale ambao tulifanya aptitude test bot mwezi wa 11 kazi za bot branch ya mtwara. Naomba kuuliza kuna ambao wameitwa kwenye selection interview? au bado watu hawajaitwa?
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

    nauliza hivi kuna tofauti kati ya tgs na tgts, kwa mfano mm ni mwalimu (tutor) scale yangu imeandikwa tgs je hayo mabadiliko yanatuhusu?
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Written interview DIT

    swali nataka kujua kama written interview tayari au bado?
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Written interview DIT

    Hivi kuna nafasi za kazi zilitangazwa na DIT nafikiri mwaka huu wameshaitwa kwenye interview ya kwanza ya written. Kwa mfano mimi nakumbuka niliomba kada ya Computer studies.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania venue ya utumishi necta mbezi beach ndo wapi?

    thanks
  6. Z

    JamiiForums Tanzania venue ya utumishi necta mbezi beach ndo wapi?

    nimeitwa kwenye interview 25/5 na secretariat ya ajira mahali pa kufanyia interview ni NECTA, MBEZI BEACH ONE KARIBU NA SHULE YA ST. MARYS. Mm sijawahi kwenda huko je kwa anaepajua ukipanda basi unashuka kituo gani? na ukishashuka unaelekea wapi?
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Nssf oral interview

    kwa hiyo wanaendelea kuita, sisi tuliokuwa bado hatujaitwa tuendelee kujipa moyo tutaitwa? tujuzeni mnaopigiwa simu.
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Vyeti vimeokotwa vya PAULO N JAGADI

    google jina lake, mtafute kwenye ma social networking sites.
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Interview Tume ya Utumishi wa mahakama ya Tanzania

    wewe umemaliza chuo mwaka huu nn? inaonekana huna experience ya kuomba kazi, watu wanakaa hata miezi 7 ndio wanaitwa kwenye interview wewe unashangaa wiki mbili.
  10. Z

    JamiiForums Tanzania NSSF waanza kuita watu kwa ajili ya oral interview

    kwa hiyo mtu usipoitwa leo ndo ujue umekosa?
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Second interview NSSF

    hayo ndo majibu ya maswali ya 2nd interview?
  12. Z

    JamiiForums Tanzania BOT Kazi za IT

    hi, naomba kujua kama kuna mtu kaitwa bot kazi za IT.
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Kwa wale ambao wamechoka na kuibiwa Mitandaoni

    account paypal unafunguaje describe for us please to ingie kazini.
  14. Z

    JamiiForums Tanzania tpdc-nauliza venue ya msimbazi centre ndio wapi?

    kwa wale walioitwa kwenye usaili wa tpdc tarehe 4/11 ambao umepangwa ufanyike msimbazi centre, mimi msimbazi centre napajua ila swali langu ni kwamba ni jengo gani?
  15. Z

    JamiiForums Tanzania tpdc-nauliza venue ya msimbazi centre ndo wapi?

    kwa wale walioitwa kwenye usaili wa tpdc tarehe 4/11 ambao umepangwa ufanyike msimbazi centre, mimi msimbazi centre napajua ila swali langu ni kwamba ni jengo gani?
Back
Top Bottom