Dua la kuku! [emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu mwenyewe huna uhusiano nae mzuri sijui hayo maombi yako utayapeleka kwa nani?
Watu wenye roho mbaya za kishetani wanna mawazo kama yako.
Walioshindwa maisha always huombea wenzao mabaya. Pole Sana[emoji57][emoji57]
Kuandika tu hujua halafu unasema utamfanyia kampeni!!![emoji23][emoji23][emoji23]
Hahitaji kufanyiwa kampeni nawewe waliomfanyia 2015 wanatosha tafuta namna nyingine ya kulisha watoto wako! Hiyo imegonga mwamba.
Usiwe Kama Mbowe amelewa tilalila ameanguka kwenye ngazi anadai kavamiwa na...
Hata hayo mapinduzi yenyewe hawezi...niwaambie kitu hakuna mtu anaeweza kusimama dhidi ya JPM mpaka pale atakapoona inatosha hata akitaka kuongeza muda hakuna mwenye ubavu wa kumpinga wala kumpindua.
Kwani uliambiwa stations ndizo tutakazopanda? Acha majungu ...kama usemayo ni kweli na si majungu weka jina lako halisi. Umeshindwa kuiba unakuja kuleta majungu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.