Baruaya pongezi kwa Rais Magufuli kutoka Arusha Mwanga

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Habari wadau

Yah kuhusu kumpongeza Rais John Pombe Magufuli.

Habari za kazi Rais wetu mpendwa John Pombe Magufuli sisi ni vijana wa Arusha tunapatikana apa mwanga sehemu ambayo ilikua kambi kuu ya upinzan kwako Arusha. Tulipambana kuakikisha Arusha na Hata Tanzania mzima tunaakikisha hupat Kura.

Ila kupitia wewe tumeamini apangalo Mungu binadam hawezi kupangua kwani pamoja na juhud zetu zote bado ukiendelea kuwa kipenzi Cha watu na kuendelea kutushinda kwa mbali Sana.

Kwa muda huu ambao umeweza kupata nafasi ya kutuongoza kwa miaka minne umeweza kudhihirisha kua wewe ni mtu ambae unafaa kutuongoza Tena kwa miaka ijayo japo Arusha vijana wengi na wazee walikua wakudanganywa kua chadema ni chama Cha wazee wetu na kusema lazima tukipiganie kwa jasho na kwa dam. Baada ya Magufuli kuiongoza nchi hii kwa muda ambao ume ongoza imesaidia kutudhihirishia kua Chadema wanatumia Uchaga kukilinda chama na Sio Sera.

Kwa sababu chadema Mpaka leo toka tumeambiwa waasis wa chama ni babu zetu wa kichaga lakin chama hakina maendeleo Zaid ya kashfa za wizi na utapel wa Ela za Wana CHADEMA.

Mimi mboya wa mwanga kwenye kampeni tunaahidi kujiunga na wewe ili tukupe nguvu Katika harakati zako.

Heche na Bulaya msitafute tumesha fanya maamuzi sisi Sio mamluki wenu Tena hatuwezi kua tunaitukana serekal ambayo ndio ndoto nzuri kwa Taifa letu Kwan tutakua tunaaribu future ya watoto zetu.

Mimi mboya na wenzangu kina Michael timeamua kuacha kuitukana Serikal asanteni.
 
Sibora uyo uku kwetu Kuna mzee kalewa kwa starehe zake mwenyewe Ila kaanguka na kuteuka mguu watu wamemchukulia ndege aende akatibiwe dar
Marais wa Afrika ni vibaka! Kuna kibaka amekufa hapo Burundi eti Taifa linaomboleza siku saba! Huu uonevu kwa wananchi utaisha lini?
Screenshot_20200610-071733.jpeg
 
hicho kikao mlikaa lini na nan aliwapa ruhusa kipind hichi ambapo ulimwengu ukikabiliwa na janga la COVID-19
 
Kuandika tu hujua halafu unasema utamfanyia kampeni!!!

Hahitaji kufanyiwa kampeni nawewe waliomfanyia 2015 wanatosha tafuta namna nyingine ya kulisha watoto wako! Hiyo imegonga mwamba.

Usiwe Kama Mbowe amelewa tilalila ameanguka kwenye ngazi anadai kavamiwa na mipumbavu ina amini
 
Nimekulia Arusha sijawahi kusikia kuna sehemu inaitwa Mwanga; ipo kijijini/kata/mtaa upi?
 
Kuandika tu hujua halafu unasema utamfanyia kampeni!!!

Hahitaji kufanyiwa kampeni nawewe waliomfanyia 2015 wanatosha tafuta namna nyingine ya kulisha watoto wako! Hiyo imegonga mwamba.

Usiwe Kama Mbowe amelewa tilalila ameanguka kwenye ngazi anadai kavamiwa na mipumbavu ina amini
Kama wewe unaamini alilewa na hukuwa nae tukuiteje?
 
Marais wa Afrika ni vibaka! Kuna kibaka amekufa hapo Burundi eti Taifa linaomboleza siku saba! Huu uonevu kwa wananchi utaisha lini?

Nimesikiliza taarifa za Ulimwengu toka DW na BBC Swahili Wanasema Marehemu Kurunziza wakti wa Uhai wake kwa kipindi Cha miaka 15 ya Utawala wake aliua wapinzani zaidi ya 400,000 na amesababisha Wakimbizi zaidi ya 200,000 na wengi wao wapo Tanzania. BBC waliongea na kijana mmoja mkimbizi yuko Tanzania akasema anajiandaa kurudi Burundi baada ya Utawala wa Dikteta Pierre Kurunzinza!!!
 
Sifa na utukufu uende kwa Corona!
 
Back
Top Bottom