Recent content by zai katoto

  1. Z

    Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

    ila diamond ana pesa nying kama bakharesa maana kila sehemu anazimwaga tu mara anunue tuzo zote anazoshinda mara awahonge watangazaj wa tv station wasipige nyimbo za kiba,duh kwel diamond ni bilionea
  2. Z

    Alikiba Afunguka kuhusu tuzo za Afrimma, asema pesa nyingi zilitumika kupambana nae..!

    kiba bwana yaan aibu nimeona mie analalamika kama kna wema sepetu
  3. Z

    Diamond Platnumz anyakua tuzo 3 AFRIMA, Vanessa Mdee aleta Moja nyumbani

    ameshinda category ipi na ipi jaman.yaan kama nawaona mashabiki wa kiba mwakan watakapopiga kura kwa fujo katka tuzo za ktma maana uwezo wao wa kuchukua tuzo ndo upo hapo
  4. Z

    Diamond Platnumz anyakua tuzo 3 AFRIMA, Vanessa Mdee aleta Moja nyumbani

    Ameshashinda za barabarani nyingi kwahyo hizi za vichochoron ni rahis sana kwake yaan ni kama kumsukuma mlev vile
  5. Z

    Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    kama kushinda mtumbuizaj bora ni rahisi bac kna crstian bela fallypupa na bob junior wangeshinda kila mwaka maana wao wanakata mauno kisawasawa.hata hvyo mbona wasanii weng wanakata tu mauno hata kiba au hujawah kumwona?kama hujamwona tafuta video ya dushelele umwangalie japo cku hz mauno...
  6. Z

    Ali Kiba akimbia tuzo za AFRIMA

    kwani kiba hatak kuambiwa ni msanii mwenye video bora ya mwaka,mbona anamalza hela kwenda sauz kwa kina godfather kama hatak angebak kwa kina adam juma au ndo ule mwendelezo wa SIZITAKI MBICHI HIZI
  7. Z

    Napinga vikali ushindi Diamond MTVEMA, Ni hujuma dhidi ya Sanaa ya Mwafrika

    kwahiyo ulitaka wanaijeria watawale mziki wa Afrika maisha yao yote?halafu mnamtaka lowasa alete mabadiliko wakati nyie wenyewe mnashindwa kubadilika
  8. Z

    Diamond Platnums adhihirisha ubabe wake Afrika, ashinda tuzo tatu(3) za AFRIMMA

    zenye hadhi ni zipi au ndio ile sizitaki mbichi hizi
  9. Z

    Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

    kama hzo ni za vichochoroni tuzo zipi ni za barabarani?ktma au maana daimond ana tuzo kbao za kimataifa kuanzia mtv,chanel o na nyngnezo.kba mwisho kariakoo duniani kila mtu PLATNUMZ BABY
  10. Z

    Usiku wa Afrimma Awards ni leo, Alikiba kumnyoosha Diamond

    ingekuwa ajabu kba kushinda yaan mtu ashindane na wasanii wakubwa wa Afrika halafu ashindwe kushinda tuzo ya msanii bora wa east afrika.na huyo kiba ana nyimbo gan ya kushindana na diamond.DIAMOND NDO HABAR YA AFRIKA WANAIJA WENYEWE WANAMUOGOPA
  11. Z

    Alikiba aendele kuitesa Africa, baada ya kuwa Nominated tena kwenye BINGWA awards

    nmejibu hapo uliposema amefika kimataifa kavu kavu bila kolabo
  12. Z

    Alikiba aendele kuitesa Africa, baada ya kuwa Nominated tena kwenye BINGWA awards

    mbona wasanii kibao waliwahi kuchaguliwa katika tuzo za kimataifa bila kolabo,mwaka 2010 diamond alichaguliwa kwenye tuzo za mtv base na nyimbo yake ya mbagala,ulkuwa kwenu igunga nini mwaka huo?
  13. Z

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    mhhhh..........waliopo hatuwataki na tunaowataka hatuwaamini
  14. Z

    Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    al k kufka alpo chibu ni sawa na mchawi kuingia peponi
  15. Z

    Live updates: MTVMAMA Awards 2015!

    katika wasanii wa kiume milioni moja Afrika diamond yupo katika top 5.huu ni ushindi tosha kwetu
Back
Top Bottom