Huyu nlonae dah! Shida sana. Shida zake zoote unamtimizia ila kitu kidog tuu mnuno wiki na kitu kinachomfanya anune sasa dah! Istoshe sometimes yeye ndo anafanya mistake af mie ndo naomba samahan ili yaishe.ujue mtu ukiamua kuish na mtu unaachana na mambo mengne yoote kama sio kupunguza ila...
Habari za humu jukwaani.
Direct kwenye maada ipo hivi ; Kuna mwanamke nnaish nae yapata miaka mitatu sasa tatizo linakuja sehemu moja.
Karibu kila siku ni ugomvi tuu na ana visa sana mnaweza kugombana kidogo tu ukanyimwa nyama sasa kuna mwingine nimempata ni single mother na ananihakikishia...
Naish mtongani So panya Road wapo kuna seem inaitwa mashimoni maarufu kwa Dodo ndio seem wanayofanyia matukio so usiseme hawapo ikiwa unaskia habar tuuu jana chupuchupu nivaane nao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.