Recent content by zablon07

  1. zablon07

    Kikwete kuongoza marais wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mgogoro wa Burundi

    Pyeri asije Tz kabisa. Kama atakuja awaombe msamaha warundi wanaoteseka kigoma na aape kutogombea hata ubalozi wa nyumba yake coz hafai hata chembe
  2. zablon07

    Gari nzima inauzwa very cheap

    Ina maana lilishaanza kutafuta mteja tangu 2013 hadi leo halijampata ndio umeona njia pekee ni JF? Umetisha mkuu.....
  3. zablon07

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    Unatumia jina gani uangaliziwe?
  4. zablon07

    Hatimaye Zimoto kimeeleweka

    Kulingana na ufinyu wa budget Jeshi la Zimamoto na uokoaji wameamua kupunguza idadi iliyokuwa ikitakiwa, majina 160 Kati ya 190 ya Sergeant yameshatoka! Na majina 437 Kati ya 570 nayo yametoka leo!!! Sergeant wanatakiwa kuripoti Ukonga Magereza tar 15/6/2014 na Constable wanatakiwa kuripoti...
  5. zablon07

    Kuitwa kazini zimamoto na uokoaji

    Kigodoro, gazeti gani wametoa?
  6. zablon07

    Galaxy Tab 10.1, model no N8000 for sale

    Price ni 650,000/- tu!
  7. zablon07

    Galaxy Tab 10.1, model no N8000 for sale

    Galaxy Tab 10.1 kaka!!
  8. zablon07

    Galaxy Tab 10.1, model no N8000 for sale

    Please contact me through 0789250950 0713368870 0765488888
  9. zablon07

    Hatimae uhamiaji yametimia

    Kaka niaje! Umefanikiwa kulipata gazeti? Kama umefanikiwa niangalizie ZABLON ISAYA MANGARE
  10. zablon07

    Hatimae uhamiaji yametimia

    Mkuu naomba niangalizie ZABLON ISAYA MANGARE - COPLO
  11. zablon07

    Hatimae uhamiaji yametimia

    Jama ni naomba mniangalizie Zablon Isaya Mangare, niko kijijini!!!!!
  12. zablon07

    Hatimae uhamiaji yametimia

    Jamani wenye list ya majina tujuzane wengine tupo vijijini huku.....
Back
Top Bottom