Je, Kama Kijana umejipanga vipi kuyaandaa hayo maisha_ au imekuwa Ni Kama simulizi kwa vijana wenzio bila kuwa na mipango_.
Vijana tujiajiri! Vijana tujitume_! Tuwe wabunifu, wapo vijana wanafuga na wanaendesha maisha yao vizuri na wengine wanalima, wengine wanajikongoja kwa Mambo madogo ya...
Ninachohitaji kumaanisha hapa Ni kuwa watu Wengi wamekuwa wakikosa matumaini kutokana na Mambo kadhaa yanayowaandama Kwenye maisha yao.
Huwapelekea mahala kukata tamaa yakuendelea na Mapambano_.
Kuna Kijana mmoja , alikuwa ni muumin ialiezaliwa katika dini ambayo kwa uwiano wake ndo sinj yenye...
Ndio sikuwahi lakini Sasa naona kabisa yanahitaji pesa_.
Hapo awali pesa zilipokuwa hazikauki mifukoni mwangu_ nilikuwa sioni haja yakuzitoa kwa mwenzangu kwakuwa alikuwa sio wakuomba_ lakini penye ulazima nilizitoa ili afurahi_
Sasa ni katika kipindi ambacho, sio Mimi Wala yeye Kama vijana...
_ Support (Kuungwa mkono) na watu wa karibu au Ndugu, je ina mchango wowote juu ya mafanikio yako.
Ni Mara kadhaa tumekuwa tukiambizana kuwa watu wa karibu hawana msaada hivyo tunatafuta na kujenga mahusiano mapya katika kukua kiuchumi_.
Je! Hili limekusaidia vipi kwa wewe uliefanikiwa.
Ndio hakuna Mwanamke Mrembo zaidi ya wengine duniani_
Kijana wakiume mfanye wa thamani Mwanamke wako, ambae teyari ameyavumilia mapungufu na madhaifu yako kwa kipindi chote cha mahusiano yenu.
Love and Care_..
Utangulizi: Nakaribisha Mawazo ni mitazamo juu ya hoja hizi, Kwa Watu wote.
1; Vijana wa sasa na fursa zilizopo.
2; Fursa zinazojenga vijana na zinazobomoa maendeleo yao.
3; Maarifa ya uwekezaji na kukua kiuchumi kwa vijana.
4; Kujikwamua kunahitaji jitihada.
5; Mafanikio ya Uwekezaji...
Yaani ziwe katika mfumo wa Tamthilia ama Filamu.
Weka hapo chini_ Kisha sisi (KS Entertainment kwa kushirikiana na muandaaji wa hiyo simulizi tutafanya Jambo kwaajili yenu).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.