Recent content by yuzzoIQ

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Padri: DPP na Polisi wakorogana, DPP atupilia mbali uchunguzi wa polisi

    nchi hii sheria hakuna watu hufungwa kwa nguvu za watu.
  2. Y

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wetu na udandiaji wa matukio

    rangi iyoo..
  3. Y

    JamiiForums Tanzania UDINI: Uchafu Chini ya Kapeti tunajidanganya wasafi - Zitto

    samahan mimi mbona sijaona sehemu ambayo zito anaunga mkono mahakama ya kadhi au nimekuelewa vibaya.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania UDINI: Uchafu Chini ya Kapeti tunajidanganya wasafi - Zitto

    nimekuelewa mkuu na nimemuamin zito kwamba kwenye mambo ya dini watu hawatumii akili kwenye kuhoji.
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Wanaodaiwa kumuua Padri Mushi Wakamatwa...

    kaazi kweli kweli.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania UDINI: Uchafu Chini ya Kapeti tunajidanganya wasafi - Zitto

    usiwe unasoma ka unachongo hebu rudi kasome tena basi.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yatikisa Mwanza, Furahisha pamekucha

    bora ukimwi kuliko dhaifu watu wa Mwanza bna..
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    mkuu yaani mpaka nimecheka maana sa izi ukiwauliza kitu CCM itakua 2014, yaan mtu akae chuo miaka 3 kihalali afu mnataka asiseme ka nimekaa chuoni? Wapi mnyika amesema ye ni Graduate wa UD? Bomba la mchina lipo kwetu huu ni mwaka wa nne halitoi maji afu unataka cheti kwa hoja hii jaman..?
  9. Y

    JamiiForums Tanzania Majibu kwa Nape, Ridhiwan Kikwete na wengine kuhusu elimu yangu na niliposoma

    Mnyika amezaliwa kizazi tofauti na kinachomhitaji ana mambo makubwa kuliko kwa hiki kizazi cha misukule. Just imagne mtu anaulizwa kwanini ahadi ya kuleta maji Dar Feb, 2013 haijatekelezwa anasema ilani ni ya miaka 5. Af sisi tunachecheka tu.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Hongera sana na asante kwenu The Islamic Foundation!!

    Bara tatizo la udini mi naweza sema halipo na kule Zanzibar kuna tatizo kubwa zaidi ya udini. Ni vigumu kutumia udini kwenye maeneo yenye mchanganyiko wa watu kwa hapa Bara na ufanikiwe.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa matokeo ya kidato cha nne 2012: Nini kimepelekea kufeli huku?

    sijawahi juta kutokuipigia kura CCM na wala sitojuta kabsaa..
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Kikwete's Regime Exposed: Activists report to US Congressional Committees... For Your Eyes Only

    kwel sis bado sna, sasa Wamarekan wanenda kushtak wap.? Kukwepa majukum kubaya sana..
  13. Y

    JamiiForums Tanzania M/kiti UVCCM alifoji umri ili kupata wadhifa huo

    kwani kufukuza vikwazo kosa..?
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Job Ndugai na Tundu Lissu uso kwa uso kwenye 'Kpima joto' ITV

    albane anasema viongoz wa bunge wanaweza kutafasiri kanuni lakin wanashindwa kuziapply kwa wabunge wte kwa usawa..
Back
Top Bottom