Recent content by Yuzzo2050

  1. Yuzzo2050

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuna jamaa mmoja wa bodaboda hapa mtaani namchapia mke wake Sasa nahisi kama ameanza kujua

    Unataka tukushauri nn mkuu? Tu support dhambi yako? Kama kwako umeona umefanya vyema sawa, ila jua mtenda hutendewa pia na maumivu yako hutoyabeba.
  2. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 No reform No Election ni agenda ya muda mrefu ilikuwepo kabla ya kutajwa!

    No reform no election
  3. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje wanangu wawe na akili nyingi darasani

    Ninyi wazazi mnazo au mnataka kutwisha watoto mizigo iliyowashinda nyie?
  4. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Njoo tusimualiane Mambo ya kutisha/kuogopesha uliyowahi kushuhudia hapa Duniani

    Mk Mkuu huyu mtoa maada alishatangulia mbele za haki mda kidogo .
  5. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: Jiji la kamari (gambling city)

    Naweka kambi
  6. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    FEBIANI BABUYA barikiwa sana mkuu
  7. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Singano jr
  8. Yuzzo2050

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa damu ya Yesu Roho yangu nimemkabidhi Yesu Pekee

    I don't judge, but maoni yangu ungetuliza kichwa hauko sawa. Alafu sio kila kitu uandike huku unafanya watu waone una shida sehem.
  9. Yuzzo2050

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jitahidi usifike miaka 30 bila kuoa au kuolewa

    Na kama amekuelewa akuelewe vyema, inahitajika busara kutambua maana ya hii comment. Imebeba mengi sana
  10. Yuzzo2050

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hatimaye nimempata!

    All the best
  11. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kipelelezi: Document number 72 (Nyaraka namba 72)

    FEBIANI BABUYA kama haiendelei ni bora ukasema kwa humu umeishia hapa . Kuliko kila saa tunapiga Doria hapa kuangalia n upotevu wa muda
  12. Yuzzo2050

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kijana (30) amuua mpenzi wa mama yake (34) kisa wivu wa kimapenzi

    Acha chuki mkuu, hapo wachagga wamefikaje? We umejuaje kabila la huyo jamaa? Be inspired instead of hating .
  13. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    singanojr tuhurumie mkuu, tulikubali kusubiri bila tatizo. Tukumbuke na sisi kaka
  14. Yuzzo2050

    JamiiForums Tanzania Hadithi za The Story Book zinatolewa Wikipedia, hazina ubunifu

    Kwahyo ulitaka atunge story zake anazojua yeye mwenyewe?
  15. Yuzzo2050

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini wanawake wanapenda wanaume wanaokunywa pombe?

    Walevi wote tunaokunywa pombe kila siku alafu tunatimiza wajibu wetu , tunajitambua sana. Kwanza huwez kua mnywaji Huna uhakika wa income yako .
Back
Top Bottom