Recent content by Yuzo mawe

  1. Yuzo mawe

    Wanafunzi 22 wa Kidato cha Sita katika Shule ya Sekondari Shinyanga kuzuiwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2021

    Miaka kadhaa nyuma pale magambani tulifanyaga mgomo kufuru pamoja na kuwapiga polisi kadhaa,Aisee asubuhi yake alikuja DC na OCD na kutupiga 'mkwara' mzito,Uzuri ni kua sisi kidato cha sita ambao tulikua wahanga wa huo mgomo tulibakiza 2 weeks kwenda NECTA, Madogo tuliowaacha waliishi kwa...
  2. Yuzo mawe

    Nani Mkubwa kati ya Mkuu wa Majeshi na Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa?

    Jambo afande[emoji61]. Hapa umemiza kila kitu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Yuzo mawe

    Ushauri kununua kiwanja Kaole, Bagamoyo

    Kaole kwa mama dulla, kwa mama msafi. Back to the days. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Yuzo mawe

    Nilivyokwenda Afrika Kusini bila kuwa na Ndugu wala Rafiki kule

    Mkuu shusa uzi wa hii nondo. Kama ikikupendeza tafadhali. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Yuzo mawe

    Hivi nchi za Afrika wameshindwa kumaliza shida za Congo na Msumbiji

    Mkuu ukifatilia sana haya mambo kichwa chako chaweza pata moto. Iko hivi,waasi wengi ambao wapo katika misitu ya congo wanapewa financial assistance na wazungu,ili mzungu aendelee kuiba madini. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Yuzo mawe

    Nani kubeba kombe Champions League, Pia nani atabeba Europa League

    Arsenal na Madrid Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Yuzo mawe

    Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

    I bet on R Madrid. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Yuzo mawe

    Ndugu zangu Waislam kufundisha karate Misikitini lina maana gani hili

    Astaghfurr. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Yuzo mawe

    Mkuu wa Majeshi (CDF) anampigia salute Mbunge?

    Dah!! Pole sana Infantry Soldier.Mungu labda hakupanga ulivae gwanda. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Yuzo mawe

    Mkuu wa Majeshi (CDF) anampigia salute Mbunge?

    Mkuu hiko kipindi mbnona ajira za JWTZ zilikua wazi wazi. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Yuzo mawe

    Mkuu wa Majeshi (CDF) anampigia salute Mbunge?

    Umemaliza kila kitu chief. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Yuzo mawe

    Napata shida ofisini kwangu goba, majirani wameanza kunichukia

    Piga kazi ndugu,usisikilize maneno ya hao majirani zako. Kikubwa muombe mungu kulinde dhidi ya shari na hila zao,Maana hapo wanapoelekea ni kukufanyia mambo ya 'utamaduni'. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom