Ni kweli mkuu
Mimi naamini TISS wako vizuri kwenye operation za kupambana na raia wanaokosoa serikali hasa hasa wanasiasa ndani ya nchi basi na siyo nje ya nchi, tofauti na hapo, mkuu tutadanganyana.
Tuwe wakweli tu mkuu,
Raia wengi wanaamini kuwa usalama wa taifa ni usalama wa raia, ardhi na...