Maumivu chini ya kitovu

Maumivu chini ya kitovu

mandingo 94

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2018
Posts
269
Reaction score
195
Habar ndg kama kichwa cha habar kinavyo sema hapo juu.

Ninasumbuliwa na matatizo ya kuuma kwa tumbo kwa muda wa miaka 3 sas nimeangaika hapa Dar mikoani nimetumia madawa hadi na kata tama naomba msaada wapi nitapata vipimu vizuri nana omba unisaidie jinsi ya kupata bima ya gharama nafuu ambayo nitaweza kutibiwa hospitaly zote serekar naomba munguzo wenu ndg yenu ninateseka
 
Nashukuru sana kipimo hicho bei yake ngapi
Ni kipimo cha CT scan,, ni bei kidogo, ila inategemea na aina ya hospital, yaani private au Government,, nashauri ukamuelezee dactari dalili hizo kisha yeye atapendekeza kipimo siyo busara kufika tu na kumwambia akuandikie kipimo cha umbrical hernia
 
Check UTI kwanza. Lakini pia inawezekana una PID. Waambie wakufanyie utra sound kuhakiki kama huna majiji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom