Recent content by yusuph yoeli

  1. yusuph yoeli

    Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

    Bora enzi za jk timu ilikuwa inajikongoja
  2. yusuph yoeli

    I need to speek english frequently

    Good advice mr All you written are so important to him you are a good teacher Is up to himself even me I have got some techniques from you on how to speak directly. Because I know some how but not much
  3. yusuph yoeli

    CHADEMA wazungumza na Wanahabari kuhusu Mwanafunzi aliyeuawa na jinsi Mbowe anavyotafutwa na Polisi

    Sioni 7bu ya sumbua vdole vyangu kukujibu ni wazi ww ni kada wa mauaji ya mwanafunzi usiejitambua naona laana imeanza kuwashukia.
  4. yusuph yoeli

    Tujiulize maswali : Uchaguzi mdogo ( Kinondoni )

    Mkuu mm sina hata hamu yakuendelea kuishi tz Ihave so painful!!!
  5. yusuph yoeli

    CHADEMA Tuliwauliza, Je Kuna nini kimebadilika mpaka Mmeamua Kushiriki Chaguzi Ndogo?

    Local brain!!! Hakuna cha mana kwa hicho ulichokiandika unconscious.
  6. yusuph yoeli

    Polisi yakiri kupiga mtu risasi maandamano ya CHADEMA

    Mbowe anamiliki siraha???
  7. yusuph yoeli

    Lissu: Dkt. Slaa amewekewa boriti ya ubalozi usio na kituo

    Kuna sentence umeandika kwamba " mshangilieni alafu wenzie wa mtende tena" yawezekana Wahusika wa lileshambulio unawafahamu utujuze na sisi.
  8. yusuph yoeli

    Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Mkuu tuwekee ushahidi Kuthibitisha ulicho kiandika!!
  9. yusuph yoeli

    Tuache siasa za chuki, Lissu alipiwe matibabu

    Wa vivu utawajua tu!!
  10. yusuph yoeli

    How long can you stay without sex?...mda gani Unaweza kukaa bila kufanya mapenzi?

    Hakuna athari zozote utakazo pata mambo mengine nikuyaendekeza tu mkuu naunaweza kujizuia kwakufanya yafuatayo: jitahidi kuwa unafanya mazoezi yatakayo uchosha mwili stop reading any news concernable about sexual relationship keeping busy on how you get manay don't look much a women who wear a...
  11. yusuph yoeli

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi kutumia Sh. Bilioni 1 ktk Uchaguzi wa Marudio Kinondoni

    Tangu awali trump yuko sahihi yy anafanya anachokisema na hasemi anachokifanya.
  12. yusuph yoeli

    Malawi: A Pregnant man visited the hospital for scanning

    Mkuu hiyo hujifungui Tumbo linakaa hivyohivyo ndo mana ya unborn pregnant.
  13. yusuph yoeli

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Ungekua unafahamu mchango wa upinzani ndani ya inchi usingesema hivyo.
  14. yusuph yoeli

    Tundu Lissu kushtakiwa Mahakama ya Kimataifa kutokana na mahojiano aliyofanya na BBC

    Km wapinzani wana leta global warming!! Naamini wabunge wa ccm ndio wengi ndani ya bunge wapeleke hoja ya kufuta upinzani .
Back
Top Bottom