Tumechoka kunyanyaswa kwenye soka mechi tana ata kagoli kandondokera hakuna sheria ifuate mkondo wake kocha na wachezaj wafunguliwe kesi ya kuwanyanyasa watanzania na wapewe adhabu ya kuchapwa bakora kwani tunabwanwa sana wananch kwenye kodi ili wenzetu wahudumiwe ipasavyo na kutupa furaha...
Kushindwa kufanya vizur kwa timu yetu ya taifa kuna mambo yanayo changia kwanza raisi wetu wa mpira hayuko makini nafikiri nibora ajiuzuru kwani kashindwa kutekeleza aliyoyaahid pili kocha wa kigeni hawatufai tuwakabidhi timu kocha wazawa tatu michezaji yetu haijitumi uwanjani nne timu yetu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.