Recent content by Yusuph mbilinyi

  1. Y

    JamiiForums Tanzania Credit fund Mikopo on line

    Habari wakuu Kuna haka ka kitu kapo fb na pia play store wana app inaitwa credit fund.. Wanasema wao wanatoa Mikopo,,unaweka akiba then ndo unakopa... Nilikua naomba kujua anae wafahamu hawa jamaa coz nahic wezi hivi ,ni rahic mno kupata Mikopo mpaka inatia shaka ...wanasema ofisi zao zipo dar...
  2. Y

    JamiiForums Tanzania KIPINDI CHA ORIGINo KOmEdI

    hata uwe msafi kiasi gani,huwezi kuchimba jalala sebuleni
  3. Y

    JamiiForums Tanzania Mapenzi na chuo vyuo vikuu Tanzania

    Tehe tehe hana loan halafu wewe una loan,take care unaweza ukageuzwa mbuzi wa kafara hapo.
  4. Y

    JamiiForums Tanzania wale wa ifm karibun xana

    I like account,i like IFM.KAMA UPO ifm nakupengeza sana..
  5. Y

    JamiiForums Tanzania Majina ya TCU haya hapa na mikopo waliyopata

    mkuu nicheck:Yusuph n Mbilinyi.
  6. Y

    JamiiForums Tanzania Heslb vipi jamani????

    Be cul bro! After tarehe 29 mwez huu 2tajua tu.
  7. Y

    JamiiForums Tanzania Ifm ifm

    nipo hapo.BA.
  8. Y

    JamiiForums Tanzania Tct tcu wana2changanya

    hili hata mimi nimeliona,ila cha msingi wame ni show to Ifm hizi mbwembwe zao watajibeba huko huko.
  9. Y

    JamiiForums Tanzania UMECHAGULIWA PROGRAM IPI na NI CHUO GANI??

    Mhasibu mtarajiwa;Bacheror of Accountancy at IFM.hongereni wote!Mzigo mkubwa kwa air so 2jipange tena.we have 2 try it harder.
  10. Y

    JamiiForums Tanzania Umechaguliwa chuo gani? Je kimekuridhisha?

    BA at IFM,WAMENITENDEA HAKI KI UKWELI.
  11. Y

    JamiiForums Tanzania TCU SELECTIONS OUT "once and for all"

    Upo na mimi mkuu.jaman 2mezungushwa sana,2mesubiri sana,it z our turn now!
  12. Y

    JamiiForums Tanzania Sizitaki Mbichi Hizi!!

    Kumbe tumetoka mbali!
  13. Y

    JamiiForums Tanzania Huu mchezo bhana! Teh

    Umetisha saaana kamanda.100% nimeongeza siku za kuishi.BIG UP MAN.
  14. Y

    JamiiForums Tanzania Mambo ya futari hayo.....

    Hapo katumbo lutu! Akizinduka siku imepita na anajipanga kuji2pia tena.Tehe tehe tehe ndo maana haishangaz kuona bei za vyakula kwa market hazikamtiki kipindi hiki.
  15. Y

    JamiiForums Tanzania Misemo ya Mpoki jamani!

    Kama maisha ni godoro basi angalia wewe usiwe kikojozi.
Back
Top Bottom